Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

Ni vya kusadikika kwako usiyeamini.
Mimi nakemea majambazi kwa Jina la Yesu, yanakimbia, wewe unasema ni vya kusadikika?!
Nakemea magonjwa napona, wewe unasema ni vya kusadikika?!

Kwa Jina la Yesu, ashindwe huyo mbwa koko shetani aliyezipofusha fikra zako hata usiione nuru ya Injili

2 Kor 4:3-4

Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea; ambao ndani yao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Mkuu ongea yote lakini shetani hutamuweza kamwe
 
Huo mfano haunihusu. Maandiko yananiambia "asiyefanya kazi hata kula asile."(2Thes 3:10). Lakini ninaposhika jembe siachi kumuomba Mungu. Bila Mungu, unaweza kulima, mvua isinyeshe, mimea ikakauka. Au mafuriko yakaja yakasomba mazao yote. Mpumbavu tu ndiye anayesema hakuna Mungu(Zab 53:1)
 
Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu kwa kufuata agizo la Kum 12:5 kwamba mahali atakapochagua BWANA Mungu, apaweke jina lake, ni makao yake, hivyo waelekeze nyuso zao hapo.
Hiyo habari ya kuelekeza nyuso umeongeza wewe..

Kumbukumbu la Torati 12:5 (Kum 12:5)
“Bali mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, miongoni mwa kabila zenu, ili aweke jina lake huko kwa ajili ya maskani yake, ndipo mtakapokwenda.”
 
Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa:

Kwanza ni muhimu kukumbuka kwamba, Yesu Kristo alipokuja duniani, Mungu hakuendelea kukaa katika hekalu lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. Yesu Kristo alizaliwa na kuishi pamoja nasi. Yesu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:23). Hii inamaanisha kwamba hatuhitaji kugeukia upande fulani ili kumfikia Mungu, maana Mungu yupo nasi kila mahali na upande wowote.

Na sisi wenyewe sasa ni Hekalu la Mungu. Biblia inasema: “Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?” (1 Wakorintho 6:19). Hivyo Hekalu haliko tena Yerusalemu peke yake. Popote alipo Mkristo, ndipo hekalu la Mungu lilipo. Kwa sababu hiyo hatufungwi kusali kwa kuelekea upande fulani.

Katika mahubiri yake, Yesu alimwambia mwanamke Msamaria:
“Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23).

Hapo tunaona Yesu akionyesha kuwa ibada na sala hazifungwi tena na uelekeo wa mahali hekalu lilipo. Tunachotakiwa tu ni kusali kwa roho na kweli, mahali popote.

Yesu mwenyewe aliomba bila kuelekea upande maalum. Yesu aliomba jangwani, mlimani, katika bustani, na msalabani, bila kuashiria mwelekeo maalum.

Hicho ni kielelezo kwamba sala ni mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Mungu yupo kila mahali na katika kona zote za dunia.

Paulo na Sila waliomba wakiwa gerezani, na milango ya gereza ikafunguka (Matendo 16:25–26). Wakati wanaomba, hawakugeukia Yerusalemu.

Labda unajiuliza tena: kwanini basi Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu? Huyo alikuwa anafuata maagizo ya Kum 12:5 kwamba mahali atakapochagua BWANA Mungu, apaweke jina lake, ni makao yake, hivyo waelekeze nyuso zao hapo. Yerusalemu ilichaguliwa iwe makao ya Mungu. Ndio sababu Sulemani alijenga hekalu Yerusalemu. Lakini sasa Mungu hafanyi makao katika majengo, bali ndani ya waaminio kama tunavyosoma katika Yohana 14:23
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.

Kwahiyo kama tulivyoona, baada ya kuja kwa Yesu Kristo, ufunuo ulitimia: Mungu yupo pamoja nasi kila mahali, amefanya makao ndani yetu; na sisi wenyewe tumekuwa hekalu lake. Hivyo Wakristo tunaposali, hatuna haja ya kuhangaika kujua Yerusalemu iko wapi. Tunaomba kwa kuelekea upande wowote, na Mungu anasikia na kutupatia haja zetu (Mathayo 7:7).
Suleiman hakuwa mkristo kama wewe

Na hiyo Sheria ya kuangalia Jerusalem Hadi Leo hii wayahudi wanaifuata misikiti Yao yote inaangalia Jerusalem

Jews pray facing Jerusalem, and within Jerusalem, they face the Temple Mount. The specific direction depends on location: those outside the Land of Israel face Jerusalem, those in the Land of Israel face the city of Jerusalem, those in Jerusalem face the Temple Mount, and those at the Temple Mount face the former site of the Holy of Holies. This practice, known as the Mizrah,

Sasa kama nyinyi Wazungu wamekuambieni mkifanya ibada muangalie popote Jueni kuwa Wazungu wamekuingizeni chaka

Nyinyi wakristo na wayahudi si wote mnafuata Bibilia kwani wayahudi waangalie Jerusalem alafu nyinyi wakristo muangalie popote mnapotaka
 
Huo mfano haunihusu. Maandiko yananiambia "asiyefanya kazi hata kula asile."(2Thes 3:10). Lakini ninaposhika jembe siachi kumuomba Mungu. Bila Mungu, unaweza kulima, mvua isinyeshe, mimea ikakauka. Au mafuriko yakaja yakasomba mazao yote. Mpumbavu tu ndiye anayesema hakuna Mungu(Zab 53:1)
Je jinsia ya Mungu ni ipi? na ni nani aliyempa hilo jina la Mungu?
 
Suleiman hakuwa mkristo kama wewe

Na hiyo Sheria ya kuangalia Jerusalem Hadi Leo hii wayahudi wanaifuata misikiti Yao yote inaangalia Jerusalem

Jews pray facing Jerusalem, and within Jerusalem, they face the Temple Mount. The specific direction depends on location: those outside the Land of Israel face Jerusalem, those in the Land of Israel face the city of Jerusalem, those in Jerusalem face the Temple Mount, and those at the Temple Mount face the former site of the Holy of Holies. This practice, known as the Mizrah,

Sasa kama nyinyi Wazungu wamekuambieni mkifanya ibada muangalie popote Jueni kuwa Wazungu wamekuingizeni chaka

Nyinyi wakristo na wayahudi si wote mnafuata Bibilia kwani wayahudi waangalie Jerusalem alafu nyinyi wakristo muangalie popote mnapotaka
Inaonekana umerukia kutoa comment kabla ya kusoma mada yote. Mada hii inaelezea vema kwamba Wakristo tunaposali hatuhitaji kuelekea upande wa Yerusalemu kwakuwa Mungu yupo pamoja nasi. Na kwamba sisi ni hekalu lake, amefanya makao ndani yetu.
Kuhusu Wayahudi, wao bado wanafuata Agano la Kale, ndiyo sababu bado wanaongozwa na sheria ya jino kwa jino. Ukiwachapa na wao wanakushushia makonde mazito!
Yesu alipokuja, alituletea Agano JIpya. Kwa habari ya kusali, tunafuata Agano Jipya. Agano Jipya halituambii tukisali tuelekee Yerusalemu. Hii ndiyo tofauti ya Wakristo na Wayahudi.
 
Maisha yake yote Yesu alikuwa anasali ndani ya Masinagogi na masinagogi yote yanaelekea Jerusalem

Hivyo Yesu akifanya ibada alikuwa anaelekea Jerusalem

Luka 4:16
Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.

Nyinyi wakristo hamufuati Yesu mnaemfuata mnajua wenyewe
 
Una elekea kibra uko kibra kuna majengo ya madangulo, mabanda ya nguluwe sasa kibra gani hiyo
 
Hebu jaribu kuwaza: Umetupwa katika msitu mnene usioujua, usiku wa manane na wenye giza totoro. Unasikia milio ya simba wakali. Unataka kumuomba Mungu akuokoe na hao simba lakini hujui Qibla, utafanyaje ili maombi yako ayasikie?
Unaelekea popote 7bu hio ni dharura. Another question plz
 
Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa:

Kwanza ni muhimu kukumbuka kwamba, Yesu Kristo alipokuja duniani, Mungu hakuendelea kukaa katika hekalu lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. Yesu Kristo alizaliwa na kuishi pamoja nasi. Yesu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:23). Hii inamaanisha kwamba hatuhitaji kugeukia upande fulani ili kumfikia Mungu, maana Mungu yupo nasi kila mahali na upande wowote.

Na sisi wenyewe sasa ni Hekalu la Mungu. Biblia inasema: “Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?” (1 Wakorintho 6:19). Hivyo Hekalu haliko tena Yerusalemu peke yake. Popote alipo Mkristo, ndipo hekalu la Mungu lilipo. Kwa sababu hiyo hatufungwi kusali kwa kuelekea upande fulani.

Katika mahubiri yake, Yesu alimwambia mwanamke Msamaria:
“Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23).

Hapo tunaona Yesu akionyesha kuwa ibada na sala hazifungwi tena na uelekeo wa mahali hekalu lilipo. Tunachotakiwa tu ni kusali kwa roho na kweli, mahali popote.

Yesu mwenyewe aliomba bila kuelekea upande maalum. Yesu aliomba jangwani, mlimani, katika bustani, na msalabani, bila kuashiria mwelekeo maalum.

Hicho ni kielelezo kwamba sala ni mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Mungu yupo kila mahali na katika kona zote za dunia.

Paulo na Sila waliomba wakiwa gerezani, na milango ya gereza ikafunguka (Matendo 16:25–26). Wakati wanaomba, hawakugeukia Yerusalemu.

Labda unajiuliza tena: kwanini basi Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu? Huyo alikuwa anafuata maagizo ya Kum 12:5 kwamba mahali atakapochagua BWANA Mungu, apaweke jina lake, ni makao yake, hivyo waelekeze nyuso zao hapo. Yerusalemu ilichaguliwa iwe makao ya Mungu. Ndio sababu Sulemani alijenga hekalu Yerusalemu. Lakini sasa Mungu hafanyi makao katika majengo, bali ndani ya waaminio kama tunavyosoma katika Yohana 14:23
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.

Kwahiyo kama tulivyoona, baada ya kuja kwa Yesu Kristo, ufunuo ulitimia: Mungu yupo pamoja nasi kila mahali, amefanya makao ndani yetu; na sisi wenyewe tumekuwa hekalu lake. Hivyo Wakristo tunaposali, hatuna haja ya kuhangaika kujua Yerusalemu iko wapi. Tunaomba kwa kuelekea upande wowote, na Mungu anasikia na kutupatia haja zetu (Mathayo 7:7).
Tafadhari usimfananishe YESU na FUSKA.
 
Hao wanaoelekea kibra,na kufata taratibu zilizofanywa miaka 1000+iliyopita, wamegundua nini cha maana, ma alwaida, alshababy, isis, Boko Haram,
AI, insta, Facebook, google, v8, Lexus, kipi wamegundua, au, nani alienda kwa Mungu akarudi akasema, Mungu anataka hv? Stupid, pathetic africsns
 
Umeanza vizuri, ila umemaliza vibaya. Sasa hapo ukipigwa ban, utamlaumu nani?
 
Back
Top Bottom