Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

Kwani bila qibla huwezi kusali? Na kabla ya kuja kwa dhana ya qibla watu hawakusali?
 
NAOMBA NIKUJIBU!

Hapo zamani Enzi za wafalme wa ISARAEL (Akiwemo mfalme Suleiman)

Upatanisho mkuu ULIFANYIKA HEKALUNI ambamo ndipo kulikuwa na sanduku la agano la mungu!

Hivyo ni kuelekeza nyuso hekaluni ilikuwa sahihi!

BAADA YA YESU KRISTO kuja aliwaambia HAWATAMUABUDU TENA MUNGU KATIKA HEKALU Bali ndani ya mioyo yao!

Hata ALIPOSULUBIWA NA KUTESWA NA KUFA MSALABANI PAZIA LA HEKALU LILIPASUKA VIPANDE KUASHIRIA Mungu hawatamwabudu tena HUMO! Bali kwa roho na kweli!

Ili kufanikisha hilo MUNGU aliruhisu vita hata lile hekalu likabomolewa hadi leo halipo!
Ili watu WAELEKEZE MIOYO YAO KWA MUNGU NASI KWENYE JENGO! ( HEKALU)

Hivyo wakristo wanatakiwa wauelekeze Uso wao kwa kristo aliyefanyika kafara ili kuukomboa kila amwaminie!
Na ndiyo maana alisema hakuna aendaye kwa baba (MUNGU) PASIPO KUPITIA NJIA YA KRISTO!

YESU NI NJI YA KWELI NA UZIMA!

Wakati anaelekeza kusali hakusema Salini baba yetu uliye yerusalem HAPANA bali alisema hivi
Msalipo semeni BABA YETU ULIYEMBINGUNI........ (Mbinguni siyo Israel)

Kama utakuwa umeelewa nyoosha mkono juu pita mbele tusali pamoja sala ya toba umpokee Mungu kuwa bwana na mwokozi wako! Tembelea kanisa lililokaribu yako kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…