Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

Kwani wewe hujui walimu wengi ni form four failures??huonagi pia wanatumika km mtaji wa wanasiasa...inshort walimug wengi sio wote hawajielew especially wa primary ndo kabisaa...Pia mazingira wanyofanyia kazi hasa vijijin hata akili haichangamki kureason

Kwani wewe hujui walimu wengi ni form four failures??huonagi pia wanatumika km mtaji wa wanasiasa...inshort walimug wengi sio wote hawajielew especially wa primary ndo kabisaa...Pia mazingira wanyofanyia kazi hasa vijijin hata akili haichangamki kureason things
mimi nina division one form four wewe kuna la mama yako
 
Siyo hao tu ukweli ni kuwa Kuna watu wengi Sana wamepigwa wa Tz wanapenda utajiri bila jasho au kuumiza kichwa kitu ambacho hakipo
 
Kweli mkubwa kuna yule aliyekujaga na wazo la pesa za kudownload
Dah hiyo sikuwahi kuisikia lakini kuna vitu na design nyingi. Wakishitukiwa huku, wanarudi kwa njia nyingine.
 
Bila kuwakosea heshima, nimekuwa nikijiuliza kwa nini wengi wa wanaoingia mkenge kwenye michezo hiyo ni Walimu- wastaafu na waliopo kazini.

Busara ya kawaida inaonyesha wangekuwa ndiyo waelewa wa kuwastua wengine wasiingie kwenye mitego hiyo.

Tatizo liko wapi?
Kuna hii inaitwa Neo Life nayo vipi mkuu?
 
Mishahara kiduchu na hamna marupurupu...plus makato ya mabank na microfinance uchwara.... mtu akisikia fursa ya kuingiza ela bila kufanya kazi mashetani yote yanaamka na anaaingia kichwakichwa.....
😂😂
 
Kuna hii inaitwa Neo Life nayo vipi mkuu?
Mkuu, zipo nyingi mno ngumu kuzijua zote. Lakini ukiona kuna kujiunga na kuambiwa utafute wengine ambao nao inabidi watafute wengine nk.

.
 
Ponzi nyingine?
Dizaini hio hio ya kukusanya hela kwa watu kwenda kulima na kuwapa faida hio Ni Ponzi scheme

Kuna maza mmoja nampata mstaafu kavuta mpunga wake juzi Kati hapa kashapeleka huko kitita[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Dizaini hio hio ya kukusanya hela kwa watu kwenda kulima na kuwapa faida hio Ni Ponzi scheme

Kuna maza mmoja nampata mstaafu kavuta mpunga wake juzi Kati hapa kashapeleka huko kitita[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
Design ya Mr. Kuku!
 
Back
Top Bottom