Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

kuna jamaa angu mmoja amemaliza Chuo Udom mwaka juzi akaja mtaani tukampa mbinu za kujikwamua kimaisha bila kusubiri kuajiriwa, kwa kuwa alikuwa ni rafiki etu tulimchangia na mtaji kidgo tukaanza kupambana,. ...wakaja hao jamaaa Glob Alliance wakamshawishi weeeee kaingia mkenge alipokuja kwetu kutushawishi nasisi kabla ya kutoa pesa tulimwambia usifanye hivyo katu, lakini jamaa alitutishia elimu yake bn akasema tatzo letu sisi tuna imani za kizamani mara ooh mimi nimesoma siwez tapeliwa kirahis ivyo,,,, baasi bn akaingia katoa laki 5 kamuingiza na demu wake kamtolea laki tano, lakini walikotokomea AMESHINDWA ata aanzie wapi kudai pesa zake aise,

ila uzuri wake alirudi na ushuhudu kuwa kapigwa...

umenikumbusha uliponiambia GLOBAL ALLIANCE Mkuu
Mie hapa wamenishawishi mpaka wameshindwa wameanza kunitukana. Yaani MTU anakuambia anapata mamilioni hata vaa yake inatia mashaka. Kiingilio laki 5 unatoa fedha yako halafu unaanza kuhangaika na madawa Yao.
 
kuna jamaa angu mmoja amemaliza Chuo Udom mwaka juzi akaja mtaani tukampa mbinu za kujikwamua kimaisha bila kusubiri kuajiriwa, kwa kuwa alikuwa ni rafiki etu tulimchangia na mtaji kidgo tukaanza kupambana,. ...wakaja hao jamaaa Glob Alliance wakamshawishi weeeee kaingia mkenge alipokuja kwetu kutushawishi nasisi kabla ya kutoa pesa tulimwambia usifanye hivyo katu, lakini jamaa alitutishia elimu yake bn akasema tatzo letu sisi tuna imani za kizamani mara ooh mimi nimesoma siwez tapeliwa kirahis ivyo,,,, baasi bn akaingia katoa laki 5 kamuingiza na demu wake kamtolea laki tano, lakini walikotokomea AMESHINDWA ata aanzie wapi kudai pesa zake aise,

ila uzuri wake alirudi na ushuhudu kuwa kapigwa...

umenikumbusha uliponiambia GLOBAL ALLIANCE Mkuu

Hahaaa...
Mimi kuna jamaa nafanya nae kazi ameshajiingiza tena eti kafungua account tatu kabisa, zaidi ya 1.5M imeondoka...!
Amenishawishi sana, nikamwambia nasubiri upepo kwako ununue kwanza hiyo prado unayoivutia kasi!
Yaani kila siku kazini anachomoka kwenda kuuza kahawa mtaani!
Kafanikiwa kumchomeka mmoja, sasa kila anayemgusa anamcheki anasema hiiiiiiiiiii....
 
yaani daah ni hatari atalete ushuhuda we subiria mkuu
 
Dah,nilipigwa deci 1,000,000. Na Serikali imetuchunia HD leo. Ndio maana sijui CCM wala Serikali huwaga siwaelewi kabisa
 
Ivi hawa Forever living na wao wanaingia ktk mfumo huo huo wa pyramid scheme
 
Back
Top Bottom