Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

Kuna kisanga kipya cha Global alliance...!
kuna jamaa angu mmoja amemaliza Chuo Udom mwaka juzi akaja mtaani tukampa mbinu za kujikwamua kimaisha bila kusubiri kuajiriwa, kwa kuwa alikuwa ni rafiki etu tulimchangia na mtaji kidgo tukaanza kupambana,. ...wakaja hao jamaaa Glob Alliance wakamshawishi weeeee kaingia mkenge alipokuja kwetu kutushawishi nasisi kabla ya kutoa pesa tulimwambia usifanye hivyo katu, lakini jamaa alitutishia elimu yake bn akasema tatzo letu sisi tuna imani za kizamani mara ooh mimi nimesoma siwez tapeliwa kirahis ivyo,,,, baasi bn akaingia katoa laki 5 kamuingiza na demu wake kamtolea laki tano, lakini walikotokomea AMESHINDWA ata aanzie wapi kudai pesa zake aise,

ila uzuri wake alirudi na ushuhudu kuwa kapigwa...

umenikumbusha uliponiambia GLOBAL ALLIANCE Mkuu
 
Kwani wewe hujui walimu wengi ni form four failures??huonagi pia wanatumika km mtaji wa wanasiasa...inshort walimug wengi sio wote hawajielew especially wa primary ndo kabisaa...Pia mazingira wanyofanyia kazi hasa vijijin hata akili haichangamki kureason things
Na hao ndiyo tegemeo la kuwapa elimu vijana wetu, kweli kazi ipo...
 
Nafikiria ukianzisha hizi Ponzi scheme Target ni kuwaendea hawa walimu bila kusita kabisa. Unatengeneza ofisi yako flani ya kizushi unawaokota mabwege.

Sitaki hata nyingi sana. Zikifika 500M tu nina exit haraka sana 🤣🤣🤣
 
Na hao ndiyo tegemeo la kuwapa elimu vijana wetu, kweli kazi ipo...
Hapo Sasa Hivi Ndiyo Utaelewa Huu Msemo
Wali Jaa, Mchuzi Leo!!!
Wali Wa Jana Mchuzi Wa Leo

Ukila Sasa Unaomba Mungu Tumbo Lisisumbue Uendako
 
Tatizo CCM mkuu, imewafanya kuwa wajinga wajinga hata baada ya kustaafu hawana mbinu mbadala wa kile walichovuna.
 
Tusubiri aje mwingine kwa jina la Mr. Mwewe. Maana tunaingia mkenge kirahisi sana
 
kwa sababu ya uwingi wao rahisi kupeana taarifa na kusambaa kwa haraka na na baadhi wana poor thinking
 
Wamejiokoa mapema wameingia kwenye soko la hisa DSE

Now wako safe [emoji23][emoji23], maana mara ya kwanza walikuwa wanaendesha biashara kwa mfumo huo huo wa Mr kuku

Now ukitaka kujiunga inabidi ukanunue hisa zao



Sent using Jamii Forums mobile app
Shughuli yao ni ipi ?
 
Shughuli yao ni ipi ?
Kilimo cha mazao. Unaenda wanakupa mchanganuo wa zao unalotaka mwanzo Hadi kuvuna + faida kwa ekari, kisha unawapatia pesa kulingana na ekari unazotaka, kisha unakaa kusubiria faida, maana wanakutafutia hadi soko

Ni mfumo huo huo wa Mr kuku ,sema jamaa bahati mbaya amekuwa ngombe wa Kafara. Ndio ikabidi wapeleke mitaji huko kwenye soko la hisa, maana linakuwa guided na sheria kutoka bot na hazina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can smell a rat when it is 1000 miles away. Yani mimi kupigwa siyo rahisi mtu akija akanipiga nitampa degree ya upigaji. Rifaro walimpiga maz flani alikuwa ashniganda kuwa nikawekeze nitatoka kimaisha ila mimi nilikataa kabisa. Kuna wengine wanaitwa Phyto science nao walipita na mils 15 za jamaa yangu kwa ahadi ya kuwa anapokea dollar 3000 kila mwezi baada ya miezi 3 ya uwekezaji.
 
Naomba mimi niongelee wastaafu.
Hawa jamaa wanaostaafu na kukamata pesa nyingi kwa pupa huwa wanakuwa na wenge sana. Unakuta nstaafu hajawai kuwa na zaidi ya 10million ika akistaafu anawekewa kama 80m hivi. Sasa hapo kila mtu snajua flani ni mstaafu maana ksma kujenga ndyo atajenga, atanunua gari na mwisho atafikiria ni mradi gani wa kumuingizia pesa. Hapa ndipo wsnapigwa. Hawana expirience ya biashara ila wana mitaji. Idea yao ni kupata faida tu. Hasara kwao huwa hakuna.
 
Back
Top Bottom