Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

mimi nina division one form four wewe kuna la mama yako
 
Siyo hao tu ukweli ni kuwa Kuna watu wengi Sana wamepigwa wa Tz wanapenda utajiri bila jasho au kuumiza kichwa kitu ambacho hakipo
 
Kweli mkubwa kuna yule aliyekujaga na wazo la pesa za kudownload
Dah hiyo sikuwahi kuisikia lakini kuna vitu na design nyingi. Wakishitukiwa huku, wanarudi kwa njia nyingine.
 
Kuna hii inaitwa Neo Life nayo vipi mkuu?
 
Mishahara kiduchu na hamna marupurupu...plus makato ya mabank na microfinance uchwara.... mtu akisikia fursa ya kuingiza ela bila kufanya kazi mashetani yote yanaamka na anaaingia kichwakichwa.....
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna hii inaitwa Neo Life nayo vipi mkuu?
Mkuu, zipo nyingi mno ngumu kuzijua zote. Lakini ukiona kuna kujiunga na kuambiwa utafute wengine ambao nao inabidi watafute wengine nk.

.
 
Ponzi nyingine?
Dizaini hio hio ya kukusanya hela kwa watu kwenda kulima na kuwapa faida hio Ni Ponzi scheme

Kuna maza mmoja nampata mstaafu kavuta mpunga wake juzi Kati hapa kashapeleka huko kitita[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Design ya Mr. Kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…