Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
waalimu vijana hawana maadili! kwani wewe ukifuata na mwanafunzi wa kike lazima um do? huo ndo ukosefu wa maadili! mwalimu unatakiwa kuyashindwa hayo mamitego ya hao wanafunzi wachache coz hawawezi kukosekana kwenye jamniii! Sasa walimu wetu wa kiume ndo wanabalehe sasa wakitegwa kidogo wanapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri
WALIMU NI WATU WENYE MAADILI SANA.
KM NI KIKE BASI NI WIFE MATERIAL
KM NI MUME BASI NI HUBBY MATERIAL
NAWASILISHA:kev:
Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.
Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.
1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??
Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!
Rose unasemea WALIMU wa ZAMANI kama wewe au hadi hawa wa siku hizi VODA FASTA??!!!
Tusilaumu walimu....na wanafunzi wana hatia lakini zaidi ni SERIKALI:
1. Zamani wanafunzi hawakuwa warembo na wajuvi kama sasa
2. Wanawake watu wazima hawakuwa agahali kama iulivyo sasa
3. Serikali haiwalipi walimu vizuri na kwa wakati.......SEX ni hitaji muhimu sana kwa binadamu...je hawa walimu wafanyeje?
4. Tumeambiwa na Rais watoto wana kiherehere
Mkuu nimeona umekuja na wazo la thread nyingine....!Wanawapenda/wanawadharau.
Wanafunzi wa siku hizi wana tamaa. PERIOD.