Kwanini Walimu wanatongoza Wanafunzi??!!

Kwanini Walimu wanatongoza Wanafunzi??!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.

1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??

Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!
 
waalimu vijana hawana maadili! kwani wewe ukifuata na mwanafunzi wa kike lazima um do? huo ndo ukosefu wa maadili! mwalimu unatakiwa kuyashindwa hayo mamitego ya hao wanafunzi wachache coz hawawezi kukosekana kwenye jamniii! Sasa walimu wetu wa kiume ndo wanabalehe sasa wakitegwa kidogo wanapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri
 
Ndugu yangu,

Mwalimu ambaye hana Maadili ya Ualimu ndiye ambaye anawafanyia wanafunzi/watoto wake,mambo machafu,

Lakini zamani ualimu ulikuwa ni wito,na wito ulikuwa unaendana na Mtu mwenye Maadili Mema katika jamii,

Ushauri wangu ni kwamba tujenge kizazi chenye Maadili Mema.Na waalimu wa siku hizi wengi ni wale ambao walishindwa shule na kuupata ualimu kwa kupitia mlango wa nyuma yaani kwa kutumia vyeti badia,na mtu kama huyo unatarajia nini kutoka kwake.
 
WALIMU NI WATU WENYE MAADILI SANA.
KM NI KIKE BASI NI WIFE MATERIAL
KM NI MUME BASI NI HUBBY MATERIAL
NAWASILISHA:kev:
 
Lakini siku hizi wanasema kwamba hiyo ndo TEACHING ALLOWANCE!!!

waalimu vijana hawana maadili! kwani wewe ukifuata na mwanafunzi wa kike lazima um do? huo ndo ukosefu wa maadili! mwalimu unatakiwa kuyashindwa hayo mamitego ya hao wanafunzi wachache coz hawawezi kukosekana kwenye jamniii! Sasa walimu wetu wa kiume ndo wanabalehe sasa wakitegwa kidogo wanapoteza kumbukumbu na uwezo wa kufikiri
 
Rose unasemea WALIMU wa ZAMANI kama wewe au hadi hawa wa siku hizi VODA FASTA??!!!

WALIMU NI WATU WENYE MAADILI SANA.
KM NI KIKE BASI NI WIFE MATERIAL
KM NI MUME BASI NI HUBBY MATERIAL
NAWASILISHA:kev:
 
Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.
 
kuna mambo mengi yanatokea kati ya mwalim na mwanafunzi, walimu wa kizazi hiki ni vijana ,wanafunzi wa kizazi hiki wameharibika maana si ajabu mwanafunzi kumtongoza mwalimu wake tena wanafunzi wanafanya mashindano kumpata mwalim,,kuwashinda wanafunzi uwe na dini tena uishike kweli,,pamoja na maadili ya walim kuporomoka lakini majaribu ya wanafunzi yamezidi,,
 
Karibu St. Paka Mweusi utupe Ma xperience!!

Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.
 
Lakini nakumbuka enzi zile Mwalimu hata kumsogelea ilikuwa ISSUE coz walikuwa wakali sana!!
Sijui kwasababu walipita JESHI??!!

Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.
 
walimu ndio hawana maadili, usipomtongoza mwanafunzi na ukafundisha vizuri na kusahihisha kwa haki yote hayo yatatoka wapi? tatizo walimu wa siku hizi wana tamaa, akimtamani mwanafunzi basi class nzima mtapata tabuuuuu!!
 
Yanayofanyika Mashuleni na sawa na yale ya mitaani. Maadili yameporomoka kila ngazi ja jamii. Mbona huulizi wanachuo, kule mitaani, ofisini, n.k. wanavyobadilishana kama nguo? Swali hili wanaliweza Maaskofu, Mashekhe, Wachungaji ....
 
Mkuu,
Sababu kubwa ni mmong'onyoko wa maadili katika jamii.
Umasikini pia unachangia katika hili ,wazee hawana muda wa kutosha wa kuwa karibu na watoto na kuwafunza maadili.wazee wamo mbioni kutafuta chakula kujaza tumbo, kuganga njaa.

Mafunzo ya ualimu pia inaonekana yamechakachuliwa hayatilii mkazo maadili na nidhamu katika kazi ya ualimu.
walimu hawana hadhi tena kama zamani katika jamii, na pia walimu wengi ni hao vijana macheck bob au mashosti...fani imeingiliwa.

watoto wamekuwa ni watoto wa utandawazi, michezo ya kuigiza , filamu na internet inawafunza umaluuni mapema...mambo yamechanganyika mkuu!
 
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.

1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??

Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!

Tusilaumu walimu....na wanafunzi wana hatia lakini zaidi ni SERIKALI:
1. Zamani wanafunzi hawakuwa warembo na wajuvi kama sasa
2. Wanawake watu wazima hawakuwa agahali kama iulivyo sasa
3. Serikali haiwalipi walimu vizuri na kwa wakati.......SEX ni hitaji muhimu sana kwa binadamu...je hawa walimu wafanyeje?
4. Tumeambiwa na Rais watoto wana kiherehere
 
mwanafunzi bnadamu
mwalimu bnadamu
bt kaz ya ualimu ilitgemewa izingatie maadili zaid ...bt nw thngs r dark more than night thats y kilio king juu yao
 
Back
Top Bottom