Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.
1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??
Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!