Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

Mimi nimeumbwa kwa mfano wa Mungu huna jipya. Mihogo kwa amani tele biriani huku u mtumwa wa mafisadi na majizi na huna hakika lini kichwa kitaliwa.
Ufisadi haukuwahi kukoma kwenye hii nchi, rudia kutafuta chanzo ugomvi wa JPM na Prof Assad, yaani trillion 1.5 ziliyeyuka kimasihara.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ufisadi haukuwahi kukoma kwenye hii nchi, rudia kutafuta chanzo ugomvi wa JPM na Prof Assad, yaani trillion 1.5 ziliyeyuka kimasihara.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app

Sawa huku akijali wananchi. Wewe unafisidi hujali unaowaongoza unakula wewe na uzao wako na wapambe uchwara wsaio kuzunguka ili waendelee kukutukuza.
 
Mbwa hata awe mkali kivipi hawezi kuung'ata mkia wake
 
Jidanganye wewe mamlaka zote za wanadamu hutoka kwa Mungu. Ndio maana nikasema Mfalme Solomoni alijenga madhabahu kwa wake zake wa amini mabaal. Mungu huangalia mwisho wa mtu wake. Tumeshuhudiwa mwisho wa Mh JPM ulikuwa vipi.
Hiyo Biblia mnaitumia vibaya. Na siku zote mnajificha kwenye huo mstari wa kwamba tutii Mamlaka kwa vile zinatoka kwa Mungu. Mbona Mungu mwenyewe alimtuma Musa kuwakomboa wana wa Israel toka kwa Farao?

Mungu anasingiziwa matendo machafu ya binadamu. Siamini kama Mamlaka ya Adolf Hitler ilitoka kwa Mungu. Vivyo hivyo siamini kuwa Mamlaka ya Magufuli ya uwizi wa kura za Oktoba 2020 ilitoka kwa Mungu. Na kuthibitisha hilo Mungu kachukua roho yake ndani ya siku 120 baada ya kuiba kura.
 
Mungu alikuambia ataishi mpaka siku ya unyakuo? Hilo lingine la Maneno ya Mungu bishana naye nimenukuu tu. Nitakacho kusaidia ni kuwa hata Farao wa Misri alikuwa katika mpango kazi wa Mungu. Hajalishi iwe hasi au chanya?
 
Kweli kabisa. Kazi ya Mungu tumwachie Mungu. Ukitaka kumtanguliza mwenzio, Mungu anakupeleka wewe kwanza. Wewe ndiye unakuwa msaliti, unatangulizwa. Yule uliyemuita msaliti anabaki anakula ugali. Lissu anaweza hata kumuoa Mama Janeth wakikubaliana.
HYO SAFARI NI AHADI.
SIO UJANJA WA MTU
 
Mungu alikuambia ataishi mpaka siku ya unyakuo? Hilo lingine la Maneno ya Mungu bishana naye nimenukuu tu. Nitakacho kusaidia ni kuwa hata Farao wa Misri alikuwa katika mpango kazi wa Mungu. Hajalishi iwe hasi au chanya?
Acheni kupotosha Biblia na elimu zenu nusu. Mpango wa Mungu ndiyo nini? Yaani kweli Mungu alimuagiza Magufuli amuue Ben Saanane kisa kahoji uhalali wa PhD yake?
Yule ni mtawala aliyekuja kwa mpango Shetani. Shirikisha ubongo wako
 
Siku ile ya kuaga hayati Magu dodoma, nilishangaa kusikia kuwa waliofungua maduka K'koo, Dar walikamatwa!!! Ni kweli ilitangazwa kuwa siku ya mapumziko, ila ajabu ni pale mapumziko yalipogeuka LAZIMA.

Hata siku za maadhimisho ya dini/MUNGU hazijawahi kufanywa kwa shututi
 
mwenye akili chafu na yuko tayari kuhatarisha maisha ya watanzania kwa ajili manufaa yake binafsi kisiasa!
Mlitaka kumuua bahati nzuri mmekufa wenyewe
 
Acheni kupotosha Biblia na elimu zenu nusu. Mpango wa Mungu ndiyo nini? Yaani kweli Mungu alimuagiza Magufuli amuue Ben Saanane kisa kahoji uhalali wa PhD yake?
Yule ni mtawala aliyekuja kwa mpango Shetani. Shirikisha ubongo wako
Hawanaga reasoning hawa Mataga 😂
 
Jidanganye wewe mamlaka zote za wanadamu hutoka kwa Mungu.
Hata shetani bin Ibilisi ana mamlaka yake hapa duniani, na ana wafuasi wanaomtii.

Mamlaka inayoruhusu raia wake kuchapwa risasi mchana kweupe, watu kufungwa kwenye viroba, wapinzani kufungwa gerezani, kutekwa na kuuizwa nk hii ni wazi mamlaka imeshikwa na shetani kupitia binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…