Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Well said... let them live their life
 
Ww mtumwa wa kileo unaekataa tamaduni zenu usiforce na wengine ambao bado wanapenda tamaduni zao...
Acha utumwa wa kifikra mbona wao hawalalamiki ww kuva suruali au utasema suruali ndo utamaduni wenu?
 
I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
 
I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
Achana na huyo rumegi, akili yake inawaza ndito na @ngomosi
 
I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
Hapo ukute ni form four failure huyo anatukana watu.
 
Wamasai wanajibaguwa wenyewe.

Hivi wakijja humo bar bila kuvaa mashuka watagundulika?.

Hivi ni mmasai gn ushamkuta maskani na watu ambao sio wamasai wenzake ?
 
Tangazo linahusu wamasai wanaoingia kwa ajili ya kukaa tu bila kununua chochote.
 
Muasisi wa ubaguzi na chuki kwa wamasai ni CCM. CCM ndio wanataka wamasai wafukuzwe Ngorongoro, pia CCM iliuza Loliondo Gate ardhi ya Wamasai

Sio kweli, hivi kuna chama baguzi kama chadema!! Ukabila na udini ndani ya chadema, japo sio wote.
 
Tena kwenye bar/kilevi wamezuiwa, ambacho Mungu ameharamisha. Aise Wamasai hii ni heri kwenu, kilevi hakifai. Sawa yero!!
 
Na wamefukuzwa Ngorongoro.

Bora wakaishi na binadamu wenzao huko handeni, kuliko kuishi na wanyama kila siku wanatazamana na wakina nyumbu na fisi. Hongereni sana wamasai kwa makazi mapya, tena watanga,,dah mnabahati sana, mnakutana na watu wastaarabu mtashindwa vipi kustaarabika!! Hongereni sana, nawatamania sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…