Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

Yaani unashauri kabisaaaa waache Mila na desturi zao?kwani zinakuathiri vipi mwananchi uliyeacha Mila na desturi zako na kudaka za magharibi au za mashariki?Masai akitoboa sikio wewe inakuathiri vipi?kweli wamebeba sime na rungu wamekupiga nalo?Cmooooon jamani

Well said... let them live their life
 
Sasa si mnataka wasibaguliwe! Basi waishi maisha kama wanayoishi wengine. Wakiendelea na maisha yao ya kizamani, watabaguliwa tu. Maana hakuna namna.

Dunia inabadilika. Na wenyewe hawana budi kubadilika. Hivyo kitendo cha wao tu kujitenga na wengine kimila, kimavazi, kitamaduni, nk. Tayari huo ni ubaguzi. Kwa hiyo hata wenyewe pia ni wabaguzi.

Ww mtumwa wa kileo unaekataa tamaduni zenu usiforce na wengine ambao bado wanapenda tamaduni zao...
Acha utumwa wa kifikra mbona wao hawalalamiki ww kuva suruali au utasema suruali ndo utamaduni wenu?
 
utamfundisha masai kweli anafundishika kweli? kunguru huwa anafugika? nimekwambia hata wakipata phd huwa akili ipo porini bado. si umeona wale kina ole ngurumo wanavyopambana ndugu zao waendelee kuliwa na wanyama na kushi bila vyoo kule ngorongoro? hata hawaelewi na ni wanasheria kabisa.

I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
 
I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
Achana na huyo rumegi, akili yake inawaza ndito na @ngomosi
 
I’m sure hujui chochote kuhusu ngorongoro wala hujawah kufika..
Hawafundishiki kwamba sio watu? Acha madharau kama hawafundishiki hizo PHD ambaozo wao wanapata naww huna wamepataje
Hapo ukute ni form four failure huyo anatukana watu.
 
Wamasai wanajibaguwa wenyewe.

Hivi wakijja humo bar bila kuvaa mashuka watagundulika?.

Hivi ni mmasai gn ushamkuta maskani na watu ambao sio wamasai wenzake ?
 
View attachment 2130328
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.

Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.

Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.

Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni za vileo, zisilifumbie swala hili macho
Tangazo linahusu wamasai wanaoingia kwa ajili ya kukaa tu bila kununua chochote.
 
Muasisi wa ubaguzi na chuki kwa wamasai ni CCM. CCM ndio wanataka wamasai wafukuzwe Ngorongoro, pia CCM iliuza Loliondo Gate ardhi ya Wamasai

Sio kweli, hivi kuna chama baguzi kama chadema!! Ukabila na udini ndani ya chadema, japo sio wote.
 
Tena kwenye bar/kilevi wamezuiwa, ambacho Mungu ameharamisha. Aise Wamasai hii ni heri kwenu, kilevi hakifai. Sawa yero!!
 
Na wamefukuzwa Ngorongoro.

Bora wakaishi na binadamu wenzao huko handeni, kuliko kuishi na wanyama kila siku wanatazamana na wakina nyumbu na fisi. Hongereni sana wamasai kwa makazi mapya, tena watanga,,dah mnabahati sana, mnakutana na watu wastaarabu mtashindwa vipi kustaarabika!! Hongereni sana, nawatamania sana.
 
Back
Top Bottom