Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

Nadhani ni kwasababu ya ujasiri walionao kwenye mazingira ya hatari yanayohatarisha usalama, na ukizingatia pia sio watu wenye mambo mengi hivyo hawana gharama kuwaajiri huenda hii imepelekea kupendelewa mno sekta hiyo.
 
Ni umasikini tu. Hivi katika ukweli wa Mungu,kuna binadamu anapenda kazi ya ulinzi? Maana yake ni zote kuanzia sungusungu,mgambo,polisi,jeshi,zimamoto,magereza,uhamiaji nk.Jeshi nilipendalo ni jeshi la wokovu tu.Hayo mengine watu huingia wapate ajira ya kujikimu kimaisha tu na wala siyo uzalendo.
 
Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
Uongo Mzee dunia imebadirika Sasa hivi sio tena km zamani Serekali imefanya modifications walinzi wengi kwenye makampuni ni kuanzia la 7 kuendelea na Masai wengi shule ni hakuna kwenda na pia Masai wanaonekana washamba siku hizi makabila yote unayoyajua wewe yanalinda na yanafanya kazi ya ulinzi, ukitaka kuelewa waulize polisi jamii na ulinzi shirikishi
 
Back
Top Bottom