Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha wanazopiga wanazipeleka wapi mboni hawana business tofauti na kumiliki maghorofa? Au ndio wanajiandaa wakaishi Dubai?
Je, kama hawa niwwatoto wa wadosi DP world ataweza kuwakoromea au wataungana kupeleka dola nje? Mbona nimeona kwenye mitandao tumeanza kuletewa wauza majumba Dubai? Watanzania wanaweza kwenda kununua nyumba Dubai? Nini kimepelekea wauza nyumba wa Duabai kuja kutushawishi tukanunue nyumba huko?