Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao.
Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati.
Baadhi ya Watu wanasema hawaifatilii kwa sababu haina mvuto na wengine wanasema kinachotangazwa kule ni bla bla tu na ahadi zisizotekelezeka za miaka nenda miaka rudi.
Hata hivyo kwa takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya wanachama ni Takribani milioni 10 hadi 12.
Na Idadi ya Watanzanzia wanaotumia simu na mitandao yaani internet inakadiriwa kufika milioni 20 hadi 22.
Watu hao hao ndio watumiaji wa mitandao kwa wingi kama Youtube, Facebook, Twitter, Instagrma, telegram na Whatsapp ikiwemo inayoibukia Tiktok.
Inashangaza kwamba vijana na watumiaji wa mitandao hii kwa wingi wameikacha mitandao inayojinasibu na Shughuli za Chama cha mapinduzi CCM
Utakuta matukio makubwa ya Mwenyekiti wa Chama Taifa view haifiki hata 1000 kwa muda wa mwaka mzima.
Jana nilikiwa napitia hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Taifa Dr Samia Suluhu Hassan akiwa na waandamizi huko Katavi Namanyele live view tulikuwa 7 tu. Huku jumla ya watemebeleaji mpaka masaa 12 baadae ikiwa ni 132 pekee.
Hii inakatisha tamaa sio tu kwa Viongozi bali pia kwa wanamitambo wanaofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Channel inakuwa Live.
Hapo juu utaona video ya masaa 2 na nusu kwa muda wa siku 2 Tukio kubwa la Mwenyekiti views ni 670 pekee.
Je ni watu hawaoni umuhimu au vijana wao wako bize kula pesa ya uchawa tu huku mambo mengine wakiyapa kisogo?
Ktk ulimwengu huu wa kidigitali ni kosa kubwa sana kuignore nguvu ya mitandao ya kijamii.
Utasema labda wananchi wamekinai Neno CCM ngoja nitazame kwa Wamiliki wengine wa Online Tv hali ikoje?
Bado haina matumaini. Ni kama Wananchi wameichoka CCM na mambo yake yoote. Hao wachache wanaoonekana hapa na pale vi wale direct beneficiaries
Sisi wachambuzi huru wa siasa mtandaoni tunaona hili swala linaweza kuibua maswali mengi juu ya Upendo na ufuasi wa Watu juu ya chama hiki.
Ktk Pool ya mamilioni ya Watuamiaji wa mitandao na ikaonekana ccm tu ndio hainufaiki nayo basi haya ni mapungufu makubwa sana.
Itikadi ya chama, hamasa na ushereheshaji umeshuka sana. Ama viongozi husika hawatimizi wajibu wao ama ni Wananchi tu wameichoka. Wanaone bora connections, facebook na Mipira kuliko Chama Tawala.
Hili nalo mkalitazame.