Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

Usijali. Hizo namba kubwa unazotaka kuziona utaziona kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Ingekuwa vema ungewalilia CHADEMA wenye namba kubwa mtandaoni ila kwenye sanduku la kura hakuna kitu.
Hizo kura ni za wizi..... Maana hata huku field bila kubeba na kuswaga watu kama mbuzi mikutano haijai
 
Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.
 
Ni maslahi binafsi tu ila sidhani kama eti mtu na akili zako timamu kabisa unaipenda ccm kwa sera na utekelezaji wa sera zake.
 
Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.
Sasa sababu ya kuwabeba na malori ni nini?
 
Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.
KOMREDI SALAMU , humu ndani watu wanaleta utani sana , yani watapima nguvu ya CCM kwa likes na views za youtube . Hahahahaa kweli CCM inawapa watu presha .

KINGINE KAMA TAIFA LA TANZANIA , TUMUUNGE MKONO MHE. RAISI wetu SAMIA SULUHU HASSAN , nae ni kiongozi mwenye upendo wa dhati . Kiongozi bora ni yule mpenda watu kuanzia jamii yake paka ya jirani . Mungu bariki viongozi wetu wa Afrika . Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom