Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

Usijali. Hizo namba kubwa unazotaka kuziona utaziona kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Ingekuwa vema ungewalilia CHADEMA wenye namba kubwa mtandaoni ila kwenye sanduku la kura hakuna kitu.
 
Achana na kuangalia youtube channel wewe uliza tu mbona walipa kodi wanazidi idadi ya wanachama wetu.?
 
Nguvu ya CCM ipo kwenye mashina na kule walio wengi wanamiliki vitochi Hawa wa smart phone ni wachache katika chama na wapo kimkakati zaidi habari ya YouTube kwao kupoteza muda.
 
Shida kimejaza machawa kibao, wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi, sio maslahi ya chama. Nani aangalie youtube channel ya porojo?
Naona ndio sababu kwamba Channel haina content kabisa
 
Nguvu ya CCM ipo kwenye mashina na kule walio wengi wanamiliki vitochi Hawa wa smart phone ni wachache katika chama na wapo kimkakati zaidi habari ya YouTube kwao kupoteza muda.
Lakini wanapoteza musa kwenye whatsapp, insta na Milard Ayo Youtube?
 
bilashaka mchambuzi na mwanadiplomasia lucas mwashambwa atakuja kutupatia majibu ya kutufurahisha
 
Back
Top Bottom