Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao.

Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati.

Baadhi ya Watu wanasema hawaifatilii kwa sababu haina mvuto na wengine wanasema kinachotangazwa kule ni bla bla tu na ahadi zisizotekelezeka za miaka nenda miaka rudi.

Hata hivyo kwa takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya wanachama ni Takribani milioni 10 hadi 12.

Na Idadi ya Watanzanzia wanaotumia simu na mitandao yaani internet inakadiriwa kufika milioni 20 hadi 22.

Watu hao hao ndio watumiaji wa mitandao kwa wingi kama Youtube, Facebook, Twitter, Instagrma, telegram na Whatsapp ikiwemo inayoibukia Tiktok.

Inashangaza kwamba vijana na watumiaji wa mitandao hii kwa wingi wameikacha mitandao inayojinasibu na Shughuli za Chama cha mapinduzi CCM

Utakuta matukio makubwa ya Mwenyekiti wa Chama Taifa view haifiki hata 1000 kwa muda wa mwaka mzima.

Jana nilikiwa napitia hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Taifa Dr Samia Suluhu Hassan akiwa na waandamizi huko Katavi Namanyele live view tulikuwa 7 tu. Huku jumla ya watemebeleaji mpaka masaa 12 baadae ikiwa ni 132 pekee.

Hii inakatisha tamaa sio tu kwa Viongozi bali pia kwa wanamitambo wanaofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Channel inakuwa Live.

View attachment 3043706
Hapo juu utaona video ya masaa 2 na nusu kwa muda wa siku 2 Tukio kubwa la Mwenyekiti views ni 670 pekee.

Je ni watu hawaoni umuhimu au vijana wao wako bize kula pesa ya uchawa tu huku mambo mengine wakiyapa kisogo?

Ktk ulimwengu huu wa kidigitali ni kosa kubwa sana kuignore nguvu ya mitandao ya kijamii.

View attachment 3043710
Utasema labda wananchi wamekinai Neno CCM ngoja nitazame kwa Wamiliki wengine wa Online Tv hali ikoje?

Bado haina matumaini. Ni kama Wananchi wameichoka CCM na mambo yake yoote. Hao wachache wanaoonekana hapa na pale vi wale direct beneficiaries

Sisi wachambuzi huru wa siasa mtandaoni tunaona hili swala linaweza kuibua maswali mengi juu ya Upendo na ufuasi wa Watu juu ya chama hiki.

Ktk Pool ya mamilioni ya Watuamiaji wa mitandao na ikaonekana ccm tu ndio hainufaiki nayo basi haya ni mapungufu makubwa sana.

Itikadi ya chama, hamasa na ushereheshaji umeshuka sana. Ama viongozi husika hawatimizi wajibu wao ama ni Wananchi tu wameichoka. Wanaone bora connections, facebook na Mipira kuliko Chama Tawala.

Hili nalo mkalitazame.
we ungeweza?
 
lazima ujue nature ya ccm!
Watu wanaingia huko kwa ajili ya maslahi (keki ya nchi)
Watu wanaingia kwasababu ya kulinda mali zao ukiwa mpinzani nchi hii utakiona
Watu wanaingia huko kama njia yakuja kuongoza nchi hii

Ni wachache wanaoingia kwa sababu wanapenda muenendo au sera za chama….
maana uhalisia mna uona
 
You nailed it.

So mapenzi hakuna
 
Inashangaza kwamba vijana na watumiaji wa mitandao hii kwa wingi wameikacha mitandao inayojinasibu na Shughuli za Chama cha mapinduzi CCM

Nkasi, Sumbawanga
Upande wa pili views 15,000

1721126707275.png

WANACHAMA WAPYA 193 WAPOKELEWA KWA KIAPO CHA CHADEMA KATA YA MKINGA - MH.AIDA KENANI​

15K views · 8 days ago...more
 
Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao.

Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati.

Baadhi ya Watu wanasema hawaifatilii kwa sababu haina mvuto na wengine wanasema kinachotangazwa kule ni bla bla tu na ahadi zisizotekelezeka za miaka nenda miaka rudi.

Hata hivyo kwa takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya wanachama ni Takribani milioni 10 hadi 12.

Na Idadi ya Watanzanzia wanaotumia simu na mitandao yaani internet inakadiriwa kufika milioni 20 hadi 22.

Watu hao hao ndio watumiaji wa mitandao kwa wingi kama Youtube, Facebook, Twitter, Instagrma, telegram na Whatsapp ikiwemo inayoibukia Tiktok.

Inashangaza kwamba vijana na watumiaji wa mitandao hii kwa wingi wameikacha mitandao inayojinasibu na Shughuli za Chama cha mapinduzi CCM

Utakuta matukio makubwa ya Mwenyekiti wa Chama Taifa view haifiki hata 1000 kwa muda wa mwaka mzima.

Jana nilikiwa napitia hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Taifa Dr Samia Suluhu Hassan akiwa na waandamizi huko Katavi Namanyele live view tulikuwa 7 tu. Huku jumla ya watemebeleaji mpaka masaa 12 baadae ikiwa ni 132 pekee.

Hii inakatisha tamaa sio tu kwa Viongozi bali pia kwa wanamitambo wanaofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Channel inakuwa Live.

View attachment 3043706
Hapo juu utaona video ya masaa 2 na nusu kwa muda wa siku 2 Tukio kubwa la Mwenyekiti views ni 670 pekee.

Je ni watu hawaoni umuhimu au vijana wao wako bize kula pesa ya uchawa tu huku mambo mengine wakiyapa kisogo?

Ktk ulimwengu huu wa kidigitali ni kosa kubwa sana kuignore nguvu ya mitandao ya kijamii.

View attachment 3043710
Utasema labda wananchi wamekinai Neno CCM ngoja nitazame kwa Wamiliki wengine wa Online Tv hali ikoje?

Bado haina matumaini. Ni kama Wananchi wameichoka CCM na mambo yake yoote. Hao wachache wanaoonekana hapa na pale vi wale direct beneficiaries

Sisi wachambuzi huru wa siasa mtandaoni tunaona hili swala linaweza kuibua maswali mengi juu ya Upendo na ufuasi wa Watu juu ya chama hiki.

Ktk Pool ya mamilioni ya Watuamiaji wa mitandao na ikaonekana ccm tu ndio hainufaiki nayo basi haya ni mapungufu makubwa sana.

Itikadi ya chama, hamasa na ushereheshaji umeshuka sana. Ama viongozi husika hawatimizi wajibu wao ama ni Wananchi tu wameichoka. Wanaone bora connections, facebook na Mipira kuliko Chama Tawala.

Hili nalo mkalitazame.
YouTube hawapelekwi na makarandinga
 
Tuliamua ujinga kama taifa Kwa kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mreeefu Hadi tukaanza kutetea wezi na wabadhirifu kisa ni wanaccm!

Kwakufanya hivyo tuliua vipaji vya uongozi ndani ya chama !MTU kama pole pole hakupaswa kuwa mwanaccm Bora angeenda nccr mageuzi tukapata WiGo mpana wa viongozi hasta jpm angeshinda urais kwa chama kama Act wazalendo angepata nafasi kubwa sana ya kifanya mageuzi akiwa nje ya CCM kuliko ndani ya CCM,ndio maana ccm ilimchanganya Hadi akaanza ununuzi was watu coz chama kilishakua kimeoza,nguvu zote hizo zinheelekezwa kwenye mageuzi ya kiuchumi tungefika mbali!!

Mapenzi ya chama huzaliwa,hukomaa na kufa hata chadema imekomaa ikielekea kufa,ilipaswa chama kinapoanza kuchokwa Dola inabdili uelekeo na kwenda chama chenye mvuto,hapo tusingekua na KAZI ya kutumia gharama kubwa kunadi chama mfu badala ya kufanya maendeleo!!

No rahisi sana kukipa Dola chama ambacho wanachama wake hawabebwi na malori kama mang'ombe Bali wanachama wanajitolea Kwa kichanga fedha wenyewe!!

Ccm inabebwa na pesa nyingi na Dola ambazo fedha hizo zingetumika kuondoa umaskini tungefika mbali sana!!
Lakini dola imelala usingozi wa pono Hadi inaacha wezi plus wabadhirifu wanakichafua chama na gharama ya kuwasafisha inatumika kubwa!!!
Comrade ume comments Kwa uchungu kutoka moyoni.
Ccm ni Chama mfu
 
Upande wa pili

PAMBALU AMVAA MSIGWA, "ANASEMAJE KUHUSU UTEKAJI,", KUBAMBIKIA KESI, VIJANA WA GEN Z KUKIWASHA MBEYA

16, 000 views ·

1721126808252.png
 
70,000 views upande wa pili

1721127146031.png

VITA YA POLICE NA CHADEMA TANGA GODBLESS LEMA AWATUKANA WAZIWAZI,MBOWE ACHACHAMAA

70K views ·
 
Hata magazeti ya chama pendwa hayanunuliwi na wanachama, naonaga wana ccm wakiyapita kwa mbali kama mzoga wa paka, uhuru na mzalendo watu wamegoma hata kufungia chapati mitaani.
 
Utafiti huu unaonesha ukweli wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, kuwa raia wanataka mabadiliko.

Wakijitokeza kwa wingi waTanzania hawa kupiga kura na kuzilinda watakuwa wamemaliza mchezo kama Donald Trump anayesubiri kwa uhakika republican kuingia Ikulu

TOKA MAKTABA:
VIEWS 87,000

RAIS SAMIA ATASHINDWA UCHAGUZI 2025/ WANAMDANGANYA/ SIRUDISHI KADI YA CHADEMA/ WANANCHI WANA KERO

1721127999044.png

Source : ST BONGO TV

243Likes
87,317Views
 
Utafiti huu unaonesha ukweli wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, kuwa raia wanataka mabadiliko.

Wakijitokeza kwa wingi waTanzania hawa kupiga kura na kuzilinda watakuwa wamemaliza mchezo kama Donald Trump anayesubiri kwa uhakika republican kuingia Ikulu
Usemacho ni kweli. Namna habari zao walivyozipa kisogo
 
Back
Top Bottom