Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

we ungeweza?
 
lazima ujue nature ya ccm!
Watu wanaingia huko kwa ajili ya maslahi (keki ya nchi)
Watu wanaingia kwasababu ya kulinda mali zao ukiwa mpinzani nchi hii utakiona
Watu wanaingia huko kama njia yakuja kuongoza nchi hii

Ni wachache wanaoingia kwa sababu wanapenda muenendo au sera za chama….
maana uhalisia mna uona
 
You nailed it.

So mapenzi hakuna
 
Inashangaza kwamba vijana na watumiaji wa mitandao hii kwa wingi wameikacha mitandao inayojinasibu na Shughuli za Chama cha mapinduzi CCM

Nkasi, Sumbawanga
Upande wa pili views 15,000


WANACHAMA WAPYA 193 WAPOKELEWA KWA KIAPO CHA CHADEMA KATA YA MKINGA - MH.AIDA KENANI​

15K views · 8 days ago...more
 
YouTube hawapelekwi na makarandinga
 
Comrade ume comments Kwa uchungu kutoka moyoni.
Ccm ni Chama mfu
 
Upande wa pili

PAMBALU AMVAA MSIGWA, "ANASEMAJE KUHUSU UTEKAJI,", KUBAMBIKIA KESI, VIJANA WA GEN Z KUKIWASHA MBEYA

16, 000 views ·

 
70,000 views upande wa pili


VITA YA POLICE NA CHADEMA TANGA GODBLESS LEMA AWATUKANA WAZIWAZI,MBOWE ACHACHAMAA

70K views ·
 
Hata magazeti ya chama pendwa hayanunuliwi na wanachama, naonaga wana ccm wakiyapita kwa mbali kama mzoga wa paka, uhuru na mzalendo watu wamegoma hata kufungia chapati mitaani.
 
Utafiti huu unaonesha ukweli wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, kuwa raia wanataka mabadiliko.

Wakijitokeza kwa wingi waTanzania hawa kupiga kura na kuzilinda watakuwa wamemaliza mchezo kama Donald Trump anayesubiri kwa uhakika republican kuingia Ikulu

TOKA MAKTABA:
VIEWS 87,000

RAIS SAMIA ATASHINDWA UCHAGUZI 2025/ WANAMDANGANYA/ SIRUDISHI KADI YA CHADEMA/ WANANCHI WANA KERO


Source : ST BONGO TV

243Likes
87,317Views
 
Usemacho ni kweli. Namna habari zao walivyozipa kisogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…