Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #61
Hizo kura ni za wizi..... Maana hata huku field bila kubeba na kuswaga watu kama mbuzi mikutano haijaiUsijali. Hizo namba kubwa unazotaka kuziona utaziona kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Ingekuwa vema ungewalilia CHADEMA wenye namba kubwa mtandaoni ila kwenye sanduku la kura hakuna kitu.
Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.Hizo kura ni za wizi..... Maana hata huku field bila kubeba na kuswaga watu kama mbuzi mikutano haijai
Wanatumia gharama kubwa sana kukifufua Kwa mapesa badala ya kufanya maendeleo!!Comrade ume comments Kwa uchungu kutoka moyoni.
Ccm ni Chama mfu
possible reasonNaona ndio sababu kwamba Channel haina content kabisa
Pole sana!Mkuu hiki ni chama kubwa sana. Usichukulie poa
KweliNi maslahi binafsi tu ila sidhani kama eti mtu na akili zako timamu kabisa unaipenda ccm kwa sera na utekelezaji wa sera zake.
Yaani ccm imekuwa kama mgonjwa wa miaka 120 ICU.Wanatumia gharama kubwa sana kukifufua Kwa mapesa badala ya kufanya maendeleo!!
Wezi wale wale wanawanadi kwenye kampeni Kwa mapesa meengi!!!
Hasara Kwa taifa!
Sasa sababu ya kuwabeba na malori ni nini?Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.
KOMREDI SALAMU , humu ndani watu wanaleta utani sana , yani watapima nguvu ya CCM kwa likes na views za youtube . Hahahahaa kweli CCM inawapa watu presha .Watu hawapendi kupoteza muda kwenye mikutano wakati kazi inayofanyika wanaiona. Wanachosubiri ni 2025 kumwongezea mama miaka mitano mingine. Ikiwapendeza wabunge wanaweza kufanya kakitu kwenye katiba ili Mama aendelee kuongoza hadi 2040 kwasababu ndo hitaji la wananchi walio wengi kwa sasa.