Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ni kweli, Binafsi pale Ifunda masomo hayo niliyaacha tukiwa form two.Labda kwa sasa hivi. Miaka hiyo wale waliosoma sekondari za ufundi masomo kama History, Geography na Biology walikuwa hawasomi/haafanyii mtihani form four. Nafikiri hata kwa wale wa michepuo ya biashara kuna baadhi ya hayo mosomo unayoita ya "msingi" hayakuwa ya msingi kwao.
But nakiri kuwa huenda nimepitwa na wakati sana.....na labda mambo yameshabadirika kwa sasa.
Msingi unaanzia wapi na kuishia wapi? Kama msingi hauishii darasa la saba kwanini tuamini kuwa huo msingi (Phyisics na Chemistry) unaishia kidato cha pili? Kwanini wote wasisome hayo masomo mawili mpaka kidato cha nne?...1. Huku mwanzoni unapata msingi tu wa masomo yote. Hivyo kupata msingi mzuri ndiyo kunafanya mtu awe na uelewa mzuri kwenye michepuo yake
Asante mkuu...Mawazo mazuri sana
Mkuu, ni ukomavu wa kifikra pekee au pamoja na ufaulu wa kidato cha pili. Mwanafunzi anaweza akapata D katika somo la chemistry kisha akapata F katika physics kidato cha pili alafu akakubaliwa kusoma mchepuo wa sayansi hata kama akili yake imependa? Seriously?...Mwanafunzi anasoma masomo yote hadi kidato cha pili na kuruhusiwa kuchagua michepuo anapoingia Kidato cha tatu, hasa kutokana na ukomavu wa kifikra katika huo umri(wastani wa miaka14-16)
Anapenda nini na anamudu nini hayo ni mambo mawili tofauti sana mkuu. Kumbuka kama suala ni kupevuka kwa akili, contents za masomo ya darala la saba hayawezi kufanana na yale ya kidato cha pili hata kama yote yangekuwa yanafundishwa kwa lugha moja mkuu.Nataka pia nikuaminishe kuwa huu umri umefanyiwa tafiti kwamba ni mda maalumu wa kijana kuweza kujua anapenda nini kwa maana ya kwamba anaweza kufanya nini -huku akishauriana na academic mentors wake
Mkuu, mimi ninadhani mbinu zinazotumika katika kutambua kipaji cha mtoto kwa huku Afrika zipo outdated sana tofauti na wenzetu wazungu...Huu umri ni rahisi kujua mtoto ni talented katika eneo lipi, na chini ya umri huo mtoto huwa anapenda kila kitu akidhani anaweza kufanya kila kitu. Kupenda profession haina uhusiano wa moja kwa moja kwamba unaweza kuisoma
Sawa mkuu kwa maana wataalam hupendi kusema "tafiti hupingwa kwa tafiti" na sio maneno matupu (Bare Words)Hoja hii itakuwa na nguvu kama zitakuwepo tafiti kuonyesha kwamba kutokana na ukuaji wa teknolojia ya upashanaji habari, ama mabadiliko ya ukomavu kiuelewa, mtoto akiwa primary std 7 anakuwa amekomaa vya kutosha kuweza kuchepua.
Mzee baba shikamoo. Kuna uwezekano wewe ukawa mkongwe sanaNi kweli, Binafsi pale Ifunda masomo hayo niliyaacha tukiwa form two.
Si sahihi mwanafunzi aweza kuwa influenced na mwalimu akachukua somo asiloweza tu kwa sababu ana mwalimu inspiring!! Uwezo wa masomo ndio unatakiwa kuamuaKuchagua matoke kulingana na ufaulu ni ushamba.
Kote duniani kwa walikoendelea watoto hawachagui masomo ya kuendelea nayo kwa kulingana na ufaulu bali kwa masomo mtoto anayopenda kwa dhati kuyasomea.
Somo kama huliwezi huliwezi tu hata akiletwa Mike Tyson kuja kufundisha boxing kamwe hutakuja kuwa bondia mzuri...Si sahihi mwanafunzi aweza kuwa influenced na mwalimu akachukua somo asiloweza tu kwa sababu ana mwalimu inspiring!! Uwezo wa masomo ndio unatakiwa kuamua
Ahahahahahaa Marahaba... Nilikuwa Ifunda from 1988 to 1991.. SEUTA D2, Form 1B, Group 4Mzee baba shikamoo. Kuna uwezekano wewe ukawa mkongwe sana
Hiyo mwaka 1988 ndio nilikuwa na miaka 4 mkuuAhahahahahaa Marahaba... Nilikuwa Ifunda from 1988 to 1991.. SEUTA D2, Form 1B, Group 4
Maisha tu haya...Hiyo mwaka 1988 ndio nilikuwa na miaka 4 mkuu
Somo kama huliwezi huliwezi tu hata akiletwa Mike Tyson kuja kufundisha boxing kamwe hutakuja kuwa bondia mzuri...
Si sahihi mwanafunzi aweza kuwa influenced na mwalimu akachukua somo asiloweza tu kwa sababu ana mwalimu inspiring!! Uwezo wa masomo ndio unatakiwa kuamua
Mfano mtu aweza kuwa indpired na mwalimu wa muziki mwalimu Diamond akawa inspired kweli ikija performance zero!!!
Swali zuri sana hiliUwezo wa masomo unatokana na nini?
Ufaulu wake wa darasaniUnatumia kigezo gani kusema mwanafunzi anaweza au hawezi somo fulani ?
Boxing ni somo kwa baadhi ya shuleBoxing sio somo.