Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
hawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku mojaMaria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?
Inasikitisha sanahawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku moja
zawadi yao kubwa kwa wahanga wanao wabeba ufala wa kifikra ni kuwaposti mitandaoni wakiwa wameuzizwa au ku R.I.P
SifahamuKWA NINI DICTATOR SAMUYA ANAWATUMA MAFWELE KUWAUWA WATU NA ASIJE MWENYEWE?
Kwani Wanaojali usalama wetu ni hili genge la watekaji wauji lililopora mamlaka ya wananchi ???Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Kambi maana team yenye mipango madhubuti na wanapigania vita kwa akili wakiwa na vifaa na sapoti kubwaJiulize kwanini hapa tz kulikuwa na kambi za wapigania uhuru kutoka mataifa mbalimbali ya afrika. Kwanini nyerere hakuwarudisha makwao...
Mimi sijatetea genge lolote wala serikali.Kwani Wanaojali usalama wetu ni hili genge la watekaji wauji lililopora mamlaka ya wananchi ???
Kwa hiyo baada ya kuua wanaodai haki ndani ya nchi hamjaridhika mnataka na wale wanaodai nje nchi Ili muwaue ??
Ni aibu serikali nzima inaacha kushughulikia na masuala ya msingi inapambana na Mange
Yule mjinga wa Sheria anaacha kudeal na mikataba mibobu ya nchi anapmbana na.mangi
Critical thinking imepotea kwa watu wengi.Swali zuri ila utajibiwa kirahisi tu kwamba we ni chawa
Ila popoma unaamua kuji tag IDs zako
Nimewahi , nikapata jibu sababu sisi wengi ni wajinga halafu tupo kama wao wengi wetu ni wezi , mafisadi na wadhulumati ila hatujapata vitengo Serikalini.Umewahi kujiuliza pia ni kwanini viongozi/watawala wa Tanzania wanajali maisha yao kuliko maisha ya watanzania wanaowatawala?
Mkuu mimi sio Popoma , nilikuwa na gia ya kumsifia Popoma ili watu wasije kuhisi Mimi ni nani na wasifikirie nje ya boksi .Ila popoma unaamua kuji tag IDs zako
Wewe ni nani?Mkuu mimi sio Popoma , nilikuwa na gia ya kumsifia Popoma ili watu wasije kuhisi Mimi ni nani na wasifikirie nje ya boksi .
Nikajua mtu rahisi kudhaniwa kuwa ana jisifia mwenyewe ni Popoma hapo simple nikapoteza watu maboya nikawaacha uninio beach .
Nimeamua niishi Kimafia halafu kama mtu asiyejulikana ndio maana nikajiita Invisible Mafia .Wewe ni nani?
Mbona Sasa huna akili timamuNimeamua niishi Kimafia halafu kama mtu asiyejulikana ndio maana nikajiita Invisible Mafia .
Siwezi kujitaja
Sawa mkuu sina , tuishie hapaMbona Sasa huna akili timamu