Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

Unataka kusemaje? kwamba watanzania wote tuogope serikali dhalimu tusifanye lolote tuwaache waendelee kuvunja katiba, kutuharibia nchi kwa kuongeza kodi na kutojari maendeleo ya jamii na kufanya wanavotaka? lazima tupate watu wachache watakaotuongoza njia tusivurugane. Hata jeshi likiwa linaenda vitani laxima viongozi wawepo na walalindwa hasa na hawakai front ili wasiuawe mapema na kukosa wa kuongoza mapambano cas wakiuawa wao basi wanajeshi watakosa wa kuwaongoza na itakua rahisi wapinzani wao kuwashinda kirahisi. That's why hata Samia na viongozi wote sjui TISS, JWTZ,POLICE huwezi waona front but wao ndio.wanaongoza uhalifu.
Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29 na tarehe 9 kuna maandamano yeyote ambayo ww au ndugu zako mlihudhuria?
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
hili jina la nyumbu limepotea sana hapa JF
 
Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29 na tarehe 9 kuna maandamano yeyote ambayo ww au ndugu zako mlihudhuria?
sio kuhudhulia tu, na tumepoteza 2 men waliouliwa na vikosi vya police, tunamachungu sababu 1 mwili uliondolewa Muhimbili ukafichwa hadi leo. Trust me, evidence tulizonazo huyu Idd Amin Mama hachomoki, na tumeshafile nyingine nyingi ICC na vyombo vya kimataifa, huyu ajuza mchafu muuaji ahesabu siku tu za kukalia hicho kiti, very soon atalia na kusaga meno. Akiepuka sheria, basi tunadeal nayeye personally, and trust me, personally itakua worse than hio ya kisheria.
 
Tunaomba uelezee maana ya usalama wetu kwanza.​

hawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku moja

zawadi yao kubwa kwa wahanga wanao wabeba ufala wa kifikra ni kuwaposti mitandaoni wakiwa wameumizwa au ku R.I.P:NoGodNo:
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
 
Skiza we kiazi, iko hivi , wanaharakati mfano Mange na Maria ni nguzo kuu ambazo wananchi wanazitumia kupeleka na kupata taarifa muhimu ambazo zibasaidia kufungua fikra za ukombozi. Sababu inayofanya wajifiche/tuwafiche ni ili wasiuawe au kufungwa sababu ukombozi utarudisshwa nyuma kama ilivo sasa walivofungia accounts zao. Kungekua hakuna kutekana,kufungwa kiholela wala kuuawa kiholela hakuna ambae angejifucha.

Unaona walichomfanyia Tundu Lissu? Vipi kuhusu Humphrey Polepole? unadhani kwa nini wanawafanyia haya wanayowafanyia? ni ili wasilence sauti za wananchi na wafiche ujinga wao wote wanaoufanya wa ufisadi na uuzaji wa laslimali bila kuwajibika. Sasa unataks na kina Maria waje ili watekwe? wauawe? au wapotezwe ili tusipate taarifa tena za kuwezesha kukomboa nchi? mknd wako[emoji34]
Watu kama hao hauhitaji kuaelewesha waache na ujinga wao
 
Hapa Tanzania mambo mengi yapo overrated .

Mfano hawa GEN Z ukiwakuta huko TikTok , unaona kuwa these guys are not well informed.

Wapo katika Autopilot (Wanajiendea tu).

Then MTU Kama Mange , Dangwa, Maria wote hawa ni opportunistic ,I'm not sure ikiwa walikuwa wanajua kabisa kuwa mazingira ya kuandamana 29/10 sio safe je ilikuaje wakapush Agenda kuwa jeshi litawalinda waandamanaji .

Nina uhakika 100% alikuwa akijitungia maneno ya uongo.

End of the day vijana wameishia kuuliwa , kuumizwa n.k

Then the guy Tesha alipojitokeza ndo akaja kuwaaminisha watu kuwa jeshi lipo upande wa wananchi .

Ila in deep down ukiangalia haya mambo unaona kuwa hawa walikuwa wamejipanga kuwatumia vijana kwa interest zao.

It is true most people , hatuikubali ccm Ila hauwezi kutumia mbinu za kijinga Kama ambazo alizitumia Mange na wajinga wakamuamini.

Personally I vowed my self that i will never play someone's game
 
Karibuni watakuwa na nafasi za juu hawa unaowachukia, Mandela Oliver Tambwe woote waliteswa kama mavofanya,
Tangu lini MHAINI na waliosababisha watu wakauwawa wawe na nafasi za uongozi nchini...hio HAITOKAA ITOKEE...
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Mkuu kama ni ivyo nawewe kimbia kama wao,acha kuteletea makelele sisi na hao watu wako,we passport hauna utaenda wapi.
 
Nimewahi , nikapata jibu sababu sisi wengi ni wajinga halafu tupo kama wao wengi wetu ni wezi , mafisadi na wadhulumati ila hatujapata vitengo Serikalini.

Nimeshuhudia masikini kwa masikini tunadhulumiana kwenye biashara , pesa au mtu akipata hata kimradi kidogo na nafasi ya kusimamia kazi akipata upenyo kidogo anapiga.

Hii inchi imenichosha kuanzia viongozi wake na watu wake ndio maana nataka niondoke bongo maana naona hakuna kitakachobadilika ni uozo mtupu.
Ohoo so kumbe mwenzetu umekata tamaa ya maisha, wengine bado tunakomaa hivyo hivyo haijalishi mazingira magumu na ndio maana sacrifices lazima zitokee njiani!.
Waliohamishia mapambano nje ya nchi ni kwasabb wao ni target kubwa ni dhahiri wangekuwepo hapa nchini wangeshawahishwa kuzimu kama ilivyokuwa kwa Mdude, Polepole nk

So akina Mange kutokuwepo nchini sio hoja kikubwa mchango wao ni mkubwa ktk mapambano na watawala washenzi wanalijua hilo, nadhani ulimsikia yule kilaza mwanasheria mkuu johari akusema amepewa maelekezo ya kumkamata & kumshitaki Mange!.
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Tumia akili kidogo basi kaka, joja ya kitoto sana hii

Wanajua kutokana na wanachokifanya wao wanakuwa target au walengwa wa utekaji au kushuriwa

Hawakuondoka nchini kwa kupenda

Mwananchi wa kawaida ni ngumu kuwa mlengwa wa utekaji
 
sio kuhudhulia tu, na tumepoteza 2 men waliouliwa na vikosi vya police, tunamachungu sababu 1 mwili uliondolewa Muhimbili ukafichwa hadi leo. Trust me, evidence tulizonazo huyu Idd Amin Mama hachomoki, na tumeshafile nyingine nyingi ICC na vyombo vya kimataifa, huyu ajuza mchafu muuaji ahesabu siku tu za kukalia hicho kiti, very soon atalia na kusaga meno. Akiepuka sheria, basi tunadeal nayeye personally, and trust me, personally itakua worse than hio ya kisheria.
Bas endelea kujitoa sadaka ili akina heche na lisu waingie madarakani ili mje muishi paradizo.
 
I am a real warrior and not a " keyboard warrior"! I was there in person!
Mbona unatumia ID feki kama kweli ww ni real warrior au tarehe 29 walipo tangaza lockdouwn mbona na ww ukimbilia ndani badala ya kubaki barabara ukiendekea kufanya huo uporaji mlio kuwa mnaufanya.
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Tukipaza sauti zetu juu ya jambo hili eti tunaonekana kwamba tunafurahia mauaji ya 29 oct,hivi wanajielewa hawa kweli?

Cha kwanza kujiuliza mtu yoyote ambaye yupo makini ,je kama hawa wenzetu wamekimbia nchi kuokoa uhai wao,vipi kuhusu sisi?

Je maisha yao ni muhimu zaidi kuliko sisi?

Wanachoogopa wao je sisi hatukiogopi??

Guys let us be smart bwana
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Kuna wengine hawakuondoka kwa kukimbia ila turudi kwenye mapambano, vitani si kila askari anakuwa front kwa mfano hatuwezi kuwa tunapigania vita na nchi jirani tuseme wajeda(simaanishi wajeda wa TZ wasengewasenge waliopigwa na M23 mpaka wakavuliwa nguo) walienda vitani hauwezi kulazimisha amiri jeshi mkuu awe front au CDF awe front, kwenye mapambano kila mtu ana nafasi yake ambapo anakuwa more effective. A whistleblower can be anywhere kikubwa kwa alipo aweze kuhamasisha, hata wanaoingia barabarani ukiwapa jukumu la ku-motivate wataona unawapa kazi ngumu sana.
Nirudi kwenye akili yako ndogo, lengo la thread yako ni kutengeza kitu kinaitwa divide and conquer ila hakuna mpumbavu wa kuingia kwenye hilo shimo unalohangaika kulichimba, utatumbukia mwenyewe. Samia anatuma polisi na TISS waue na kuteka kwa maslahi yake na familia yake mbona huwa hamlalamiki kwamba awe anaua mwenyewe kwa kuwa ndiye mnufaika mkuu wa mauaji ya Watanganyika.
 
N
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Nchi IPO vitani, kama unavyojua vita inapoganwa kwa engo tofauti tofauti. Wengine nje ya nchi, wengine mitandaoni, wengine ndani ya nchi Tena kwa kujificha, na wengine wazi wazi, ili mradi Kila mtu anakuwa anapambana.
 
Back
Top Bottom