Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

Mimi sijatetea genge lolote wala serikali.

Point yangu ni kama wao wanajua umuhimu wa maisha na usalama wao kwa nini wasitushauri na sisi tulinde usalama wetu tusiende front kama Nyumbuz ?

Mange aliamisha Waandamanaji Kuwa polisi na Jeshi wapo nyuma yao matokeo yake Waandamanaji wakatoka kindezi kwa kujiamini, sasa si Bora angewapanga kabisa kuwa msiende na matumaini hewa ambayo yaliwacost wengi ?
Hii ishu ilitucost sana,halafu baadae anakuja na narrative nyingine kwamba unajua jeshi la Tanzania limegawinyika katika sehemu ambazo zinajitegemea

Kwanini hakujua hayo mapema?
 
Umewahi kujiuliza pia ni kwanini viongozi/watawala wa Tanzania wanajali maisha yao kuliko maisha ya watanzania wanaowatawala?

​
Hiyo ni human nature,ubinafsi wa viongozi wetu,na hatuyabariki hayo

Ila ubinafsi mbaya ni kupenda uhai wako zaidi kuliko wa watu wengine
 
Hata minyumbu iliyo jaa humu jf kazi kuchochea moto ila wenyewe siku ya maandamano haitoi hata pua yaani yaanaigopa serikali mpaka yanatumia majina feki ila wasijulikane ila yanataka vijana wadogo waende kukabiliana na bunduki ana kwa ana.
ITR,
Tupambane na huu ujinga,wao wapo nyuma ya keyboard halafu watoto wa watu watolewe Kafara,hapana si sawa

Hatuwezi wote tukawa nyumbu
 
Skiza we kiazi, iko hivi , wanaharakati mfano Mange na Maria ni nguzo kuu ambazo wananchi wanazitumia kupeleka na kupata taarifa muhimu ambazo zibasaidia kufungua fikra za ukombozi. Sababu inayofanya wajifiche/tuwafiche ni ili wasiuawe au kufungwa sababu ukombozi utarudisshwa nyuma kama ilivo sasa walivofungia accounts zao. Kungekua hakuna kutekana,kufungwa kiholela wala kuuawa kiholela hakuna ambae angejifucha.

Unaona walichomfanyia Tundu Lissu? Vipi kuhusu Humphrey Polepole? unadhani kwa nini wanawafanyia haya wanayowafanyia? ni ili wasilence sauti za wananchi na wafiche ujinga wao wote wanaoufanya wa ufisadi na uuzaji wa laslimali bila kuwajibika. Sasa unataks na kina Maria waje ili watekwe? wauawe? au wapotezwe ili tusipate taarifa tena za kuwezesha kukomboa nchi? mknd wako[emoji34]
Hatuna shida na kufichua maovu,hatuna shida na kufichua ufisadi, wafanye ni jambo zuri

Ila wasichochee harakati za kuhatarisha amani ya nchi hii,wasihatarishe maisha ya vijana wetu

Hilo ndio jambo tunalopigania hapa
 
Hapa Tanzania mambo mengi yapo overrated .

Mfano hawa GEN Z ukiwakuta huko TikTok , unaona kuwa these guys are not well informed.

Wapo katika Autopilot (Wanajiendea tu).

Then MTU Kama Mange , Dangwa, Maria wote hawa ni opportunistic ,I'm not sure ikiwa walikuwa wanajua kabisa kuwa mazingira ya kuandamana 29/10 sio safe je ilikuaje wakapush Agenda kuwa jeshi litawalinda waandamanaji .

Nina uhakika 100% alikuwa akijitungia maneno ya uongo.

End of the day vijana wameishia kuuliwa , kuumizwa n.k

Then the guy Tesha alipojitokeza ndo akaja kuwaaminisha watu kuwa jeshi lipo upande wa wananchi .

Ila in deep down ukiangalia haya mambo unaona kuwa hawa walikuwa wamejipanga kuwatumia vijana kwa interest zao.

It is true most people , hatuikubali ccm Ila hauwezi kutumia mbinu za kijinga Kama ambazo alizitumia Mange na wajinga wakamuamini.

Personally I vowed my self that i will never play someone's game
Rudia kusoma ulichokifikiria na kukiandika ujione ulivo mpumbavu usie na akili hata 5%.
 
Hatuna shida na kufichua maovu,hatuna shida na kufichua ufisadi, wafanye ni jambo zuri

Ila wasichochee harakati za kuhatarisha amani ya nchi hii,wasihatarishe maisha ya vijana wetu

Hilo ndio jambo tunalopigania hapa
Eti eeh? basi anza hata kwenda shule tena ukaongeze kaelimu angalau kidogo shogaangu, cas naona umebakiza ya kwendea kupoop tu na kutype JF[emoji57]
 
Pinga hoja kwa hoja bro,matusi hayasaidii kitu
 
Hapa Tanzania mambo mengi yapo overrated .

Mfano hawa GEN Z ukiwakuta huko TikTok , unaona kuwa these guys are not well informed.

Wapo katika Autopilot (Wanajiendea tu).

Then MTU Kama Mange , Dangwa, Maria wote hawa ni opportunistic ,I'm not sure ikiwa walikuwa wanajua kabisa kuwa mazingira ya kuandamana 29/10 sio safe je ilikuaje wakapush Agenda kuwa jeshi litawalinda waandamanaji .

Nina uhakika 100% alikuwa akijitungia maneno ya uongo.

End of the day vijana wameishia kuuliwa , kuumizwa n.k

Then the guy Tesha alipojitokeza ndo akaja kuwaaminisha watu kuwa jeshi lipo upande wa wananchi .

Ila in deep down ukiangalia haya mambo unaona kuwa hawa walikuwa wamejipanga kuwatumia vijana kwa interest zao.

It is true most people , hatuikubali ccm Ila hauwezi kutumia mbinu za kijinga Kama ambazo alizitumia Mange na wajinga wakamuamini.

Personally I vowed my self that i will never play someone's game
You nailed it bro,,huo ndio ukweli,ila nyumbu watapinga hili
 
Tangu lini MHAINI na waliosababisha watu wakauwawa wawe na nafasi za uongozi nchini...hio HAITOKAA ITOKEE...
Sasa kwanini mlijifanya kuunda tume ya Chande, wakati majibu mnayo ktk watu wasiokuwa na aibu nyinyi mnaongoza. Kesi ipo kimataisa haipo Kisutu. Nikuulize kutoka moyoni kabisa wewe unaamini Samia atamaliza miaka mitano akiwa kwenye utawala???
 
Ndo anacho uliza mleta mada Kama wao wanajua kabisa kuwa hii serikali haina huruma mpaka wao kukimbia nchi kulinda maisha yao kwanini wanaendelea kuwachocheq vijana waikabili hii serikali katili ambayo wao wenyewe wameikimbia bila kujali maisha ya vijana.
Hiyo ndio point tatizo hawana akili
 
Skiza we kiazi, iko hivi , wanaharakati mfano Mange na Maria ni nguzo kuu ambazo wananchi wanazitumia kupeleka na kupata taarifa muhimu ambazo zibasaidia kufungua fikra za ukombozi. Sababu inayofanya wajifiche/tuwafiche ni ili wasiuawe au kufungwa sababu ukombozi utarudisshwa nyuma kama ilivo sasa walivofungia accounts zao. Kungekua hakuna kutekana,kufungwa kiholela wala kuuawa kiholela hakuna ambae angejifucha.

Unaona walichomfanyia Tundu Lissu? Vipi kuhusu Humphrey Polepole? unadhani kwa nini wanawafanyia haya wanayowafanyia? ni ili wasilence sauti za wananchi na wafiche ujinga wao wote wanaoufanya wa ufisadi na uuzaji wa laslimali bila kuwajibika. Sasa unataks na kina Maria waje ili watekwe? wauawe? au wapotezwe ili tusipate taarifa tena za kuwezesha kukomboa nchi? mknd wako[emoji34]
Vijana wakifa nao familia zao hawana wa kuwalisha na kuwapa mahitaji.

Imagine mtu ana make na watoto wa 5 wote wanasoma na wazazi wake Wazee yeye ndio tegemezi ameenda front kinyumbuz na kufa hapo sawa na kuua Familia nzima mken, wazazi na watoto wanakuwa dillema .

Kama umethamini uhai wa Mange na Maria Sarungi kisa kupata taarifa na harakati kuendeleza vipi akifa Baba watoto wale ndoto za kusoma na huduma unaSolve vipi ?
 
Sasa kwanini mlijifanya kuunda tume ya Chande, wakati majibu mnayo ktk watu wasiokuwa na aibu nyinyi mnaongoza. Kesi ipo kimataisa haipo Kisutu. Nikuulize kutoka moyoni kabisa wewe unaamini Samia atamaliza miaka mitano akiwa kwenye utawala???
Tume imeundwa kuhitaji haswa kubaini chanzo halisi Cha kilichotokea ni nini kuanzia waliohamasisha

Kuhusu kama atamaliza, Mnajipa kazi ya Mungu ..?
 
Back
Top Bottom