Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Hata Jumanne Muliro,Samia,IGP,Nkunda,Chalamila hatukuwaona mastari wa mbele kuzuia maandamano......
 
Kwani wewe uliwaona kina Muliro,wambura,Mgunda,Mombo wakiwa front kuzuia maandamano kwa vitendo??!
 
Screenshot_20251217-135358_X.jpg

Dawa imeanza kufanya kazi
 
Sio rahisi hao uliowataja washiriki maandamano, wao wamechagua kuwa wanaharakati ndio shughuli yao ya kujipatia kipato,kama vile wauza majeneza na sanda wafanyavyo.
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Ni kwakuwa mwindaji wao anaamini kuwa anaouwezo wakujihakikishia usalama wake yeye mwenyewe na kuhatarisha usalama wa anaye mwinda.
 
Kwani wewe uliwaona kina Muliro,wambura,Mgunda,Mombo wakiwa front kuzuia maandamano kwa vitendo??!
Mbona hiyo ni cheap response ?

Kama Netanyahu anaua mpaka Raia na sisi ruksa kisa mtu Fulani baada ya kuangalia reality and justice
?
 
Hata Jumanne Muliro,Samia,IGP,Nkunda,Chalamila hatukuwaona mastari wa mbele kuzuia maandamano......
Mbona hiyo ni cheap response ?

Kama Netanyahu anaua mpaka Raia na sisi huku ruksa kisa mtu Fulani baada ya kuangalia reality and justice
 
sio kuhudhulia tu, na tumepoteza 2 men waliouliwa na vikosi vya police, tunamachungu sababu 1 mwili uliondolewa Muhimbili ukafichwa hadi leo. Trust me, evidence tulizonazo huyu Idd Amin Mama hachomoki, na tumeshafile nyingine nyingi ICC na vyombo vya kimataifa, huyu ajuza mchafu muuaji ahesabu siku tu za kukalia hicho kiti, very soon atalia na kusaga meno. Akiepuka sheria, basi tunadeal nayeye personally, and trust me, personally itakua worse than hio ya kisheria.
That's false hope .

ICC ni scums wameshindwa kuwajibisha watu wengi tu haina meno .

Personally labda utadeal nae ndotoni
 
Mkuu kama ni ivyo nawewe kimbia kama wao,acha kuteletea makelele sisi na hao watu wako,we passport hauna utaenda wapi.
Sitaki vijana watoke kizembe na kuliwa kinyumbuz.

Passport ninayo mpya kabisa haina hata mwaka
 
Mkuuu watakuja wafuasi wa Mange kimavi,wana hasira hao nyumbu,je upo tayari kwa hii vita uliyoianzisha?!
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Hata Muliro anaogopa kufa hatokei mbele kwenye vurugu anachora ramani na kutuma maprivate wake. Hao nao waacheni waendelee kuchora ramani mapambano yaendelee, watokee mbele ili iweje. Na wewe kama ni mwoga jifiche chini ya uvungu kimya usijifanye kuwasemea majasiri wenzio.
 
Kama Netanyahu anaua mpaka Raia na sisi huku ruksa kisa mtu Fulani baada ya kuangalia reality and justice ?
 
Back
Top Bottom