comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Uhusiano wetu na rwanda sasa ni mzuri kuliko siku zote,
haingii akilini eti tena rwanda ianze kuua askari wetu,
labda kama jeshi letu kule lina jukumu jingine zaidi ya kulinda amani,jukumu linaloingilia
interest za Rwanda,
naamini jeshi letu kule lipo kulinda amani na sio kulinda migodi ya almasi na dhahabu ya congo ili kagame asiibe madini
kule,
so why our force are being targeted?
Je waasi wanalipa kisasi kwa Tanzania kwa kumkamata kiongozi wao?
Ama kuna link na majambazi yale tunayoyatwanga risasi za miguu yakafa yakikimbizwa hospitali,ama ni kweli masoja
wetu wanawekea kauzibe interest za watu kule?
Kumbuka israel inategemea sana almasi ya congo kuendesha uchumi wake,main
export ya israel nearly 50% ni almasi na wanazitoa katika nchi kama congo,je kuna link kati ya israel,Rwanda na hawa waasi.
Kwanini majeshi mengine
hayawi targeted?
Kwani hao wanajeshi wameenda lini Congo mbona unataka kumtwisha mtu mwingine mzigo
Aseeee....Kama anaiba Kongo why na nyie msiende kuiba mkijifanya wasamaria wema kongo ina matatizo yake toka 1950 mtoke kule mfanye maisha yenu Tz shenz kabisa
Eeeeh....haki.zi.ma.na...Mlienda kufanya nin kule mambo hayawahusu mkaingilia why hawauwai wale wanajesh wa Monuc
hao wanajeshi wa UN wakifika Congo hawajishughulishi na kulinda amani.....wanatafuta madini na wao wanakuwa hawana tofauti na waasi, huo ndio ukweli mchungu hao wameingiliana kwenye magendo yao ya kutafuta madini na hao waasi.....Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Kwann tusipeleke drone zetu zikaenda piga hii mutu aiseeeee. tunaendelea kuonyesha vifaa vyetu kwenye sherehe za kitaifa badala ya kufanya kazi zilizokusudiwa. i heard tuna drone kadhaaaaπππ
hao wanajeshi wa UN wakifika Congo hawajishughulishi na kulinda amani.....wanatafuta madini na wao wanakuwa hawana tofauti na waasi, huo ndio ukweli mchungu hao wameingiliana kwenye magendo yao ya kutafuta madini na hao waasi.....
Cc The BoldKwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Kagame hawezi kuwa mshauri wako wa karibu then ukabaki salama haiwezekani.Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Mashoga wengi wapo Manzese, Temeke na Magomeni nadhani umeshaelewa ni kina nani wanapenda mashogaHuu ndio usenge wa mwisho kabisa. Kundi lolote na likiwa na viongozi wenye majina ya kiislamu basi linahusishwa na dini ya uislamu. Lakini tumeshuhudia Australia wameamua kufirana lakini hakuna kuhusishwa na dini.