Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Daah tutazika ndugu, rafiki zetu baada ya mazishi daah tutamlilia Mungu, Mungu atajibu maombi tutapata majibu nani yupo nyuma ya haya matukio ya kinyama hivi!!??? na kwann iwe sisi tu wakati huu aah napata hasira
 
Uhusiano wetu na rwanda sasa ni mzuri kuliko siku zote,
haingii akilini eti tena rwanda ianze kuua askari wetu,
labda kama jeshi letu kule lina jukumu jingine zaidi ya kulinda amani,jukumu linaloingilia
interest za Rwanda,

naamini jeshi letu kule lipo kulinda amani na sio kulinda migodi ya almasi na dhahabu ya congo ili kagame asiibe madini
kule,

so why our force are being targeted?
Je waasi wanalipa kisasi kwa Tanzania kwa kumkamata kiongozi wao?

Ama kuna link na majambazi yale tunayoyatwanga risasi za miguu yakafa yakikimbizwa hospitali,ama ni kweli masoja
wetu wanawekea kauzibe interest za watu kule?

Kumbuka israel inategemea sana almasi ya congo kuendesha uchumi wake,main
export ya israel nearly 50% ni almasi na wanazitoa katika nchi kama congo,je kuna link kati ya israel,Rwanda na hawa waasi.

Kwanini majeshi mengine
hayawi targeted?

Hakuna nchi ya kinafiki kama Rwanda
 
Hatuwarudishi majeshi nyumbani hiyo itakua ushindi wa Tall, maana inawezekana ndio anaechezesha draft, muhimu ni kutowaamini wote hapo, hata hayo majeshi ya Congo ni hovyo na wamejaa pua ndefu kibao, muhimu zaidi
kuwapiga ikiwezekana tulitume mpaka Kigali ili nao wasikie raha ya kufiwa
 
Tutathimini upya uhusiano wetu na Rwanda, kwann mauaji ya Majeshi yetu yanatokea sana kipindi hiki?? Wanyumbani aliona mbali xana sijui imekuaje kipindi hiki
 
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC

KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama

Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject

Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea

CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
hao wanajeshi wa UN wakifika Congo hawajishughulishi na kulinda amani.....wanatafuta madini na wao wanakuwa hawana tofauti na waasi, huo ndio ukweli mchungu hao wameingiliana kwenye magendo yao ya kutafuta madini na hao waasi.....
 
Kwann tusipeleke drone zetu zikaenda piga hii mutu aiseeeee. tunaendelea kuonyesha vifaa vyetu kwenye sherehe za kitaifa badala ya kufanya kazi zilizokusudiwa. i heard tuna drone kadhaaaa😉😉😉
 
siwaelewi wanaokejeli vifo vya vijana wetu na siwaelewi wanaoshangaa vifo vya mashujaa wetu ,walikuwa wanajua exactly nini wanafanya kule and what ti expect lakini hao wanaokejeli hawajui maana ya wanajeshi
 
Kwann tusipeleke drone zetu zikaenda piga hii mutu aiseeeee. tunaendelea kuonyesha vifaa vyetu kwenye sherehe za kitaifa badala ya kufanya kazi zilizokusudiwa. i heard tuna drone kadhaaaa😉😉😉

you heard!!!!!?
 
hao wanajeshi wa UN wakifika Congo hawajishughulishi na kulinda amani.....wanatafuta madini na wao wanakuwa hawana tofauti na waasi, huo ndio ukweli mchungu hao wameingiliana kwenye magendo yao ya kutafuta madini na hao waasi.....

Mmaaaa!!!!!umetufungua macho dada ahsante
 
Watu wanafikiri kule congo madini ni kujichotea tu.

Kule kuna well established company za kiisrael ambazo ziko listed kwenye stock exchange za london etc.
Kama kuna madini yanavusha labda ni yale ya kutoka kwa wachimbaji wadogo,
kuna muisrael yeye ndo ananunua madini,hasa almasi karibu zote kutoka kwa wachimbaji wadogo,
sidhani kama Rwanda bado anachukua madini kwa style ile ya miaka ya 96
 
Watu wanafikiri kule congo madini ni kujichotea tu.

Kule kuna well established company za kiisrael ambazo ziko listed kwenye stock exchange za london etc.
Kama kuna madini yanavusha labda ni yale ya kutoka kwa wachimbaji wadogo,
kuna muisrael yeye ndo ananunua madini,hasa almasi karibu zote kutoka kwa wachimbaji wadogo,
sidhani kama Rwanda bado anachukua madini kwa style ile ya miaka ya 96
 
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC

KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama

Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject

Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea

CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Cc The Bold
 
Makamanda wetu mnapokua vitani acheni stori, kama mnavokua hapa bongo, huko ambushi ni mda wowote, kaeni mkao wa vita adui akijishaua ueni bila huruma bora lawama kuliko fedheha, iiiiiiihihihihihihiihi.... Poleni makamanda wetu
 
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC

KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama

Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject

Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea

CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
Kagame hawezi kuwa mshauri wako wa karibu then ukabaki salama haiwezekani.
Watusi wanaitawala Kongo kwa msaada wa kagame na mseven ambao wote ni wakaribu sana kwa Dereva wa pulling.
Ikiwa watz twaweza kuvumilia nchi yetu kuongozwa na raia wa kigeni basi tuwasihi wakongo Wa vumilie ikiwa hatuwezi basi tuwasaidie kuondoa utawala huo. Tutaona mengi.
 
Huu ndio usenge wa mwisho kabisa. Kundi lolote na likiwa na viongozi wenye majina ya kiislamu basi linahusishwa na dini ya uislamu. Lakini tumeshuhudia Australia wameamua kufirana lakini hakuna kuhusishwa na dini.
Mashoga wengi wapo Manzese, Temeke na Magomeni nadhani umeshaelewa ni kina nani wanapenda mashoga
 
Back
Top Bottom