Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Rain forest na ambushes ni sawa sawa na uji na mgonjwa.
 
Diplomasia yetu ya sasa bana aaah sikai wala sisimami,nalia na moyo, ubongo unanifariji lakini mikono inatetemeka sana tumepoteza watu wengi sana kwa kipindi kimoja aaah
 
Tuwe macho sana na wanyarwanda hapa Dar wamejipenyeza kila mahali.kuna mmoja yupo Bandarini kama clearing agent lakini ukimwangalia vizuri anaonekana ana kazi nyingine
 
Sidhani hicho kikundi bado kina ideology ya kidini,

kumbuka sisi ndo tulimkamata kiongozi wa kundi hili,

isijekuwa ikawa ni mambo ga kisasi...
 
Siwaamini wanyarwanda wanaweza kua sababu ya vijana kushambuliwa! Miaka yote ya nyuma hatukuandamwa na wimbi la mauaji kiasi hiki !!

Mission yetu ya Kwanza ilikiwa ni kuwazuia M23 na tulifanikiwa sana yukiwa pamoja na Malawi na RSA, sasa hilo kundi halipo tena, so Tupo DRC kulinda Amani,
Iweje Jeshi letu pekee ndio lishambuliwe?, Mbona Malawi na RSA tuliokuwa kwenye mission moja wao hawapati taabu tuipayo sisi?

DRC kuna majeshi ya Kimataifa kutoka kwenye nchinzaidi ya Kumi, India, Pakistan, Uruguay, Brazil, Kenya, Tanzania, Malawi, RSA, Ghana ect,
Kuna kitu hakiko vizuri sehemu
 
Sidhani hicho kikundi bado kina ideology ya kidini,

kumbuka sisi ndo tulimkamata kiongozi wa kundi hili,

isijekuwa ikawa ni mambo ga kisasi...

Hata mi nashaka na hilo la Kidini
 
Huwezi kulinda amani ukitegemea mbio,kunyukana ni lazima vijana wetu wayasome mazingira vizuri,msitu mnene huo.
 
Mimi bado naamini Rwanda wanafanya kila njia kuhakikisha majeshi yetu yanaondoka Kongo.Baada ya M23 kufurumshwa yale majeshi ya Rwanda kwa mgongo wa M23 bila shaka wanatumia waasi wengine lakini kwa minajili ya kulipiza kisasi.maana bila jeshi letu Rwanda bado wangekuwa Kongo kuvuna rasilimali za huko.Tuwe macho na Rwanda si watu wazuri hata kidogo kwenye ukanda huu.
Uyasemayo yana ukweli fulani kwani utajiri mkubwa wa Kagame na pia sehemu kubwa ya maendeleo anayosifiwa Kagame kuyaleta Rwanda ni uwizi wa Raslimali za Wakongo iliyokuwa ikiporwa na askari wa Rwanda kwa kivuli cha M23, baada ya hao M23 kuvurushwa na walinzi wa amani kwa msaada wa JWTZ Kagame alihamaki enzi za J.M.Kikwete.
Hivyo bado wanawahujumu jeshi letu ili Mkulu apate sababu ya kuwaondoa huko DRC na kwa urafiki wake na Kagame tusishangae akafikia uamuzi huo.
 
Tatizo la wa kwetu anataka kusifiwa hata kwenye vitu vya hatari,mtu kama kagame sio mtu wa kutengeneza nae ulafiki kabisa kutokana na historia yake.huyu jamaa kwa kutaka kuonekana wa maana anaingia kichwakichwa kuungana nae .mimi naamini kwenye siasa za kijeshi wa kwetu ni mdogo sana kwa mtu kama kagame,alitakiwa kuwa na uwoga kua kalibu na mtu kama yule.

MIMI TANGU NCHI HII YA RWANDA ILIPOJIUNGA NA UMOJA HUU WA EAC,SIJAWAHI KUA NA AMANI.watatusumbua sana hawa.
 
Mission yetu ya Kwanza ilikiwa ni kuwazuia M23 na tulifanikiwa sana yukiwa pamoja na Malawi na RSA, sasa hilo kundi halipo tena, so Tupo DRC kulinda Amani,
Iweje Jeshi letu pekee ndio lishambuliwe?, Mbona Malawi na RSA tuliokuwa kwenye mission moja wao hawapati taabu tuipayo sisi?

DRC kuna majeshi ya Kimataifa kutoka kwenye nchinzaidi ya Kumi, India, Pakistan, Uruguay, Brazil, Kenya, Tanzania, Malawi, RSA, Ghana ect,
Kuna kitu hakiko vizuri sehemu
Labda baba anawatoa wanae kafara kulinda urafiki na jamaa yake !! Mengi yanatokea ikiwemo kuwapa watuendeshee nchi kupitia udhibiti wa mtandao
Dunia ya Leo ya kutegemea kufundishwa kuthibiti matumizi ya mtandao na ka nchi kakorofi kama Rwanda kweli? Na tunafahamu fika techolojia ya Leo ni utaalamu wa mtandao tu waweza kukufanya ufanye lolote
 
Back
Top Bottom