Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Unavo elezea sasa kama ni simpo procidure kwenda huko kambini 😂😂😂😂Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.
Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Hauna akili wewKama wengine wamekulipa na mmoja ndiye anakusumbua kwanini useme ni tabia yao wakati aliyekufanyia ni mmoja una shida wewe Kama sio wivu na roho mbaya basi ushawahi kufanyiwa kitendo kibaya umeamua kuwachafua
Wewe inakuuma nini!Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
Kuna ugumu Gani?Jeshi la sasa hivi ni la wasomi,achana na jeshi la kizamani ,Lile lililopigana na Nduli.Mimi Lugalo baracks, Ngome (Upanga),Kule kibaha Kwa Mathias (Msigani).Mara kadhaa nimeingia huko 🤔Unavo elezea sasa kama ni simpo procidure kwenda huko kambini 😂😂😂😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwanajeshi akukope laki tatu hivi mnatuonaje nyie
Mdomo ukusaidie kula hayo mengine utaharibu weyeNina marafiki polisi,uhamiaji. A zimamoto na wanajeshi wanalipwa allowance nyingi katikati za kisheria tena kama una familia ndo unapewa hela nzuri maana asiye na familia anapewa 300000 hapo baada ya week unapokea mshahara ila card zao zimeshikiliwa micro credit
Nyambafu fuatilia mambo yako kwani hayakuhusuSIjakataa kama hawapewi posho. Lakini zile rasmi za nyumba, maji..zinaingia pamoja na mshahara. Ndicho ambacho nilikuwa namwambia ndege JOHN
Sipati picha hicho kisasi chake..Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.
Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Nimeshangaa taarifa nyingi ni za uongo na za zamani sanaWanajeshi wa wapi wanapewa mshahara tarehe 15? Urongooooo
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
Ulienda ukiwa na vielelezo vyote?Mimi nilienda paka jeshini kwao lakini wapi wananizungusha tu ooh mvumilie mfanye kama ndugu yako
Acha upuuzi ili iwejeSamahani Mkuu, unaweza kuja PM kunitajia jina au namba ya huyo Mwanajeshi aliyekopa na hakulipa?
kama hawarudishi, usiwakopeshe.Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
Mkuu unaanzia wapi ili umwone huyo oficer? Maana ukifika getini kwao ukiwaona wale MPs jasho linakutoka kabla hujaeleza shida yako!Ukifika kikosini kwake fanya uonane na ofisa usalama wa hiyo camp ndio uwa wana msaada na utapata haki yako ila hao wafungua mageti uwa wanalindana
Duuh....Kuna ugumu Gani?Jeshi la sasa hivi ni la wasomi,achana na jeshi la kizamani ,Lile lililopigana na Nduli.Mimi Lugalo baracks, Ngome (Upanga),Kule kibaha Kwa Mathias (Msigani).Mara kadhaa nimeingia huko 🤔
HATARI SANANina marafiki polisi,uhamiaji. A zimamoto na wanajeshi wanalipwa allowance nyingi katikati za kisheria tena kama una familia ndo unapewa hela nzuri maana asiye na familia anapewa 300000 hapo baada ya week unapokea mshahara ila card zao zimeshikiliwa micro credit
Mgulani vuka ng'ambo kule wanapokaa maofisa wadogo au lah kama una bakabaka unaemjua hata huko mtaani itakua rahisi kukusaidiaMkuu unaanzia wapi ili umwone huyo oficer? Maana ukifika getini kwao ukiwaona wale MPs jasho linakutoka kabla hujaeleza shida yako!
We kuku nini? Haya ni mambo yangu na yananihusuNyambafu fuatilia mambo yako kwani hayakuhusu
Hii njia kuanzia massana Hadi njia nne..Goba ipi Chief?
Khakhakhaaaa;🤭 Nilijua walimu tu🥴