Kwanini wanaJF wengi wana macho mekundu na wafupi sana?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.
 
Na hii ndiyo sababu napenda kutojulikana(anonymous)..tena na id yangu feki. Kama watu mnakutana mnaanza kaguana macho, je mlipopanga kutanga kulikua na ajenda ya kukaguana???
 
duh kama ndo hivyo bas haina maana kuungana pamoja kutembelea wagonjwa maana wadau mnakaguana hivo kha...
 
tehe tehe tehe tehe we mtu una visa kweli,naomba ututake radhi coz mimi mrefu na sina macho mekundu
 
Kwa kigezo chako basi nipo kundi la wachache
 
Macho meupe kwani siye watoto wachanga?wafupi kulinganisha na nani?wawe warefu ili nini?
Macho meupe ya nini?mekundu yana nini?
 
Vijana wa CHADEMA ndivyo walivyo kwa ajili wanatumia sana viroba na ganja! Na asilimia 80 ya JF imejazwa na washabiki wa CHADEMA.
 
Ha ha ha! mkuu nimecheka, halafu nilitaka kusema hivyo ila nikaona nitachafua hali ya hewa.
 
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.
Mlianza kusema kuwa JF imejaa utapeli, mkawakatisha watu tamaa. Wenye akili wakatoa michango, bado mkaendelea kuwakatisha tamaa kuwa kuna Wana usalama wametumwa ili kuwaangali. Mlipoona mmeshindwa kabisa na safari imefana mkaja na hoja kuwa eti Wana JF wa Dar ni Wanafiki. Bado hamjaridhika na hayo yote mmekuja leo na hili tena. Kha! Ni hatari sana kuwa na watu wa dizaini hii kwenye jamii na ndio maana tunaambiwa tuna IQ ndogo kila siku.
 
Vijana wa CHADEMA ndivyo walivyo kwa ajili wanatumia sana viroba na ganja! Na asilimia 80 ya JF imejazwa na washabiki wa CHADEMA.
Mpwa wangu tujadili hii hoja kwanza yuache Siasa. Hakuna mahali pametajwa CHADEMA na ninaumia sana maana mimi na Mtambuzi ndio tuliandaa hii issue
 
Last edited by a moderator:
huko ocean road mnaenda lini tena.!? ni nkashuhudie hao vijeba.
 
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.

Viroba plus bangi.
 
Back
Top Bottom