basi magaidi wanafugwa na ccm hivyo inapaswa kufumuliwa au kufutwa usajili
 
Kweli mkuu,hasa pale Lissu aliposhambuliwa makao makuu ya nchi,CCTV zikaondolewa na hakuna aliyeshikwa mpk Sasa.
Hakuna witness yeyote kwenye suala la Lissu,kumbuka ushahidi au upelelezi ukikamilika basi mtuhumiwa hufikishwa mahakamani lakini pia,

Suala Hamza, naam Hamza.
Japo siyo gaidi lakini alikosea Sana kuchukua sheria mkononi Tena mbaya zaidi akipambana na jeshi la polisi,alikosea Sana.

Ona Sasa kadhulumu nafsi za vijana na Askari wetu,kama Kuna madai si angeenda mahakamani?
 
Mahakama zipi hizo?
 
wanavuna walichopanda, wamejigeza tawi la ccm
 
Siro yuko sahihi. Ni magenge ya wahuni tu na magaidi yanayompinga Siro.
Usahihi wake uko wapi,kuwaambia wazazi wachague watoto wa kuzaa wasizae Kama kina Hamza?[emoji15] Ndio usahihi? Kuna mzazi anachagua mtoto wake aweke akizaliwa?
Mbona hamkemei mtoto wake Kule Chanukah anakula unga tu[emoji34][emoji34]
 
Wakipatikana akina Hamza kumi polisi watahesihu katiba na raia.

wakati huo utakuwa mpakani ukihesihu matako yako yasijedhulika.

mmeshina amani na utulivu mnaharisha tu mbwa nyinyi.
 
Tanzania



Hii nchi inahitaji kina hamza kama kumi WATALETA HESHIMA SANA

sio akina mbowe tena!!!

by the way waliishakuja kama hukuwa umezaliwa fuatilia kuanzia 2014 utajua tz ilikuwa matukio mengi ya ugaidi.

huyu hamza gaidi mnene hana maajabu.
 
Zaid ya yote waliogopa angeweza akawa anapiga kelele mahakamani kuwa polisi walimdhulumu madini yake Siri ikafichuka...ndo maana wakaamua wamalizane naye mazima

kada mtiifu wa chama cha ccm hajui chanel za kupiga madini mpaka akamatwe na polisi mataa!!!
madini yabebwe asijue anawasiliana na nani mpaka ayapate!!!

hii nchi mnaijua vizuri tatizo mnajifanya wapumbavu,ndio maana hata ccm inajipigia tu nyuma na mbele,hakuna mwenye ubavu wa kuitikisa.
 
Ukizingatia polisi wetu ni milenda wanachati muda wote ndio maana Hamza kawachukulia bunduki2

wanachati,milenda hapo hapo walipora madini???

wakuu hata kama polisi wanawachukulia wake zetu kuweni halisi kidogo mnapowajadili.
 
Lazima polisi walaumiwe kwakuwa hatukuona wakijaribu kumsihi mtuhumiwa kuweka silaha chini kujisalimisha japo angepata nafasi yakusililizwa labda mahakamani ila wamekwenda pale kulenga na kuuwa na nafikiri hata kama angeweka silaha chini kujisalimisha lazima wangeuwa tu. Kwa hilo polisi nawalaumu
 
Polisi sio kunapolisi mmoja alinilia dem wangu hivi hivi.
 
Kuna kitu cha kufanya maana hata mchezaji akivua jezi anabaki kia shabiki tuu,kwahiyo yofauti ni mavazi ya uwanjani .
 
Ta
Tatizo polisi wanasimama badala ya mahakama na kulazisha wanalolitaka. Raia wanasiri nyingi sana za Hawa wajamaa. Sasa waone raia walivyojibu haya ya Hamza.

Halafu kesho utasikia Kuna mtu ameshikiliwa kwa ajili ya kumsapoti Hamza kwa alichokifanya.

Ushauri wangu polisi rudini kwenye mstari wenu kaeni katikati ya raia na mahakama. Achaneni na makada wa CCM. Tafuteni mbinu mchomoke mikononi mwa had jamaa na kutoka mikononi mwao ni katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…