Watu wa kule ni wavivu sana+vyakula vibovu lazima walegee
Kila kibaya wazanzibar wanakwambia kimetoka bara,utazani Zanzibar wanaishi malaika.Ushoga wazanzibar umetokea Tanzania bara.
Tanzania bara ndo wameenda uko Zanzibar plus wageni kutoka nchi tofauti tofauti duniani,ndo imesababisha Zanzibar kuwa vile.Na siyo wazanzibar wamependa kuwa vile utamudi na desturi za nchi nyingine ndo yametokea hayo tunayoyaona.
Ebu tuwaachie wajitawale wenyewe kama hayo mambo yatatokea.
I am sure kabisa hayatoweza kutokea cause wataweka sheria Kali.
Wapi nimesema wanaishi malaika.Sina haja ya kukubadilisha,ila na kwambia Zanzibar hawaishi malaika.
........waiting kujuzwaNitakujuza tulia
Kama babalao mvaa vikukuu na kuunganisha nywele za kikeMBONA WANAONEKANA KAMA MCHELE MCHELE🤔🤔🤔
huoni yuko na mashoga wenzie ? huyo ni wali nazi, ubwabwa mahagare unaliwa kwa mikono bila kjikoHuyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema watu wa bara ndio hawana maadili
View attachment 1325640
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushoga huku bara upo maeneo ya mwambao,Ushoga wazanzibar umetokea Tanzania bara.
Tanzania bara ndo wameenda uko Zanzibar plus wageni kutoka nchi tofauti tofauti duniani,ndo imesababisha Zanzibar kuwa vile.Na siyo wazanzibar wamependa kuwa vile utamudi na desturi za nchi nyingine ndo yametokea hayo tunayoyaona.
Ebu tuwaachie wajitawale wenyewe kama hayo mambo yatatokea.
I am sure kabisa hayatoweza kutokea cause wataweka sheria Kali.
Shoga wakupe ccm.. Halafu ulaumu waznz akili ipo sawa kweli?
Walaumu apo ulipokwenda ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
REKIK EL SHABAZZ, Anyway sitatumia lugha za kuudhi ila mashoga nilianza kuwaona baada ya kufika Zanzibar na biashara ya utalii imechochea zaidi huo utamaduni japo South Africa napa panatisha hasa baada ya sheria za nchi kutambua uwepo wao
Sent using Jamii Forums mobile app
MLETA MADA UMEONA WANAMUZIKI WANGAPI WAPO HIVYO MPAKA UGENERALIZE HIVO?
TUWEKEE HIYO LIST HAPA
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa nilikuona upo vizuri kichwani kumbe muda mwengne dishi linayumbaa sanaa.Kila kibaya wazanzibar wanakwambia kimetoka bara,utazani Zanzibar wanaishi malaika.
Hiyo ni michezo yenu kuanzia wazee mpaka watu wazima,mpaka watoto,sema mmejificha kwenye mwamvuli wa dini.
Alafu wewe mwenyewe umesema tena sababu nyingine ni utalii,sasa nakuuliza uchumi wa Zanzibar umeanza kutegemea utalii mwaka gani?
Ukijibu hilo swali utagundua michezo hii mliianza hata kabla ya Muungano 1964.
Kila kibaya wazanzibar wanakwambia kimetoka bara,utazani Zanzibar wanaishi malaika.