Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

Talaka zimezidi Visiwani sasa watu wameamua kutifuana wenyewe kwa wenyewe
 
Let me tell u something,

Ati kwa sbbu waznzbar wanalelelwa na kukulia ktk maadili mema,

Sii sbbu ya kusema kuwa hatuna tabia mbaya .

Kwa hakika dunia imebedlka ndo maana licha ya kuwa wazazi wanatulea ktk maadili ila mwisho wa siku tunabadlika ati tunaenda na wakat

Ila suala la kuwa shoga ni maamzi ya mtu binafsi ,kila sehemu kuna mashoga,

Musijitie upofu wakat muna macho ,tatzo la USHOGA na mengne kama usagaji ni tatzo ya jamii zote duniani.

Ila nyinyi munavyosema ni kama kwamba waznzbar ndo mchezo wetu,wakat kiuhalisia dunia nzima suala la ushoga lipo .

Munachaa kuwajadili watu wa Europe,munatujadili sisi,wakat wao wamefikia hatua za kuhalalisha ndoa za jinsia moja, wao Wana porn za wanaume kwa wanaume,

Ktk TANZANIA hii mashoga maarufu wanatokea wapi? James delicious ni mzenji? ,

Tusitupiane mzigo wa mawe wakat tatzo ni la jamii yote, sio znz tuu hata nyinyi muna hivyo vitabiaa.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34].
NYAANI HAONI KUNDULEEE ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Tanzania mashoga wapo kweli, sema hawaungwi mkono..sasa huko Zenj, mfano huyu anaishi kwa kujiachia tu, ni mwanamuziki anaimba akijionyesha wazi kabisa na nyimbo yake kupigwa kwenye tv
Na huyu sio wa kwanza wapo wengi tu zanzibar,mfano alikuwepo yule Omar Kopa
Yaani watu wengi wa bara wakienda Zanzibar lazima wakutane na visa vya ushoga
 
Jiulize sasa,anawowaunga mkono ni nani?

Jee ni sisi wananchi ? Ama .

SIRI YA MTUNGI,AIJUWAYE KATA.
Mzee Tanzania mashoga wapo kweli, sema hawaungwi mkono..sasa huko Zenj, mfano huyu anaishi kwa kujiachia tu, ni mwanamuziki anaimba akijionyesha wazi kabisa na nyimbo yake kupigwa kwenye tv
Na huyu sio wa kwanza wapo wengi tu zanzibar,mfano alikuwepo yule Omar Kopa
Yaani watu wengi wa bara wakienda Zanzibar lazima wakutane na visa vya ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],kitu kinacho nishangaza,WABARA MUTAKA MBEGU ZETU [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]mtu mzima unamkuta ati natka nizaee na ww pumbavu ,
Mmh hakuna mdada atashobokea kajitu kama hako, labda wakaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],kitu kinacho nishangaza,WABARA MUTAKA MBEGU ZETU [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]mtu mzima unamkuta ati natka nizaee na ww pumbavu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sa hako kajamaa katamzalisha nani, atazalishwa yeye. Na wewe upo nyoronyoro kama yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom