Bongo msanii gani ana maneno matamu ya mapenzi?Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Kwa bongo ni Jay melody 😁, ila kwenye uzi wangu nimefokas wanamuziki wa america TAJIRI MKUU WA MATAJIRIBongo msanii gani ana maneno matamu ya mapenzi?
Mashairi yake yanafanana na ya mwanamuziki gani wa zamani?Kwa bongo ni Jay melody 😁, ila kwenye uzi wangu nimefokas wanamuziki wa america TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
TUMIA AKILI THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA KUTOKANA NA HAKI SAWA SIKU HIZI HATA NDOA HAZINA MAANA TENAHabarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Country ni music mzuri ila sijui kwanini sijawahi kushawishika kuupenda hata nukta [emoji1745][emoji848]Ni wewe tu umezeeka, alafu kingine lazima ujue ile rnb na soul ya mpka miaka ua 2000 haipo tena...trend imehamia kwenye pop na country! Ukitaka maneno matamu ya mapenzi basi sikiliza country, japo pop na makelele yake no wanajitahidi!
Na hamna watu wanaandika kama hawa wamarekani!
Kama umepata wasaa wa kuwasikilizq akina Trisha Yearwood, Faith Hill, Carrie Underwood na Reba McEntire na hukuwaelewa ndo basi tena [emoji3]Country ni music mzuri ila sijui kwanini sijawahi kushawishika kuupenda hata nukta [emoji1745][emoji848]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Wamegundua kuwa Wanawake wa sasa hawastahili kusifiwa, wamekuwa MatapeliHabarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Mkuu Kuna baadhi ya nyimbo bado zinavutia kwa miaka hii ngoja nikupe list ya kuanzia 2015 ambazo umesema huna kwa sababu ndo nyimbo zanguHabarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Waimbe uongo wakati sasa hv hamna mapenzi ni mkwanja tuHabarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Mi namuongezeaMkuu
Mkuu Kuna baadhi ya nyimbo bado zinavutia kwa miaka hii ngoja nikupe list ya kuanzia 2015 ambazo umesema huna kwa sababu ndo nyimbo zangu
As it was by Harry styles
I feel it coming by the weeknd
Hello by Adele
Save your tears by the weeknd
Hym for the weekend by Coldplay
Dusk till Dawn by Zayn
Easy on me by Adele
7 years by Lucas Graham
Reality by lost frequencies
Fire on fire by Sam Smith
Something just like this by the Chainsmokers
Hizo ni baadhi ya nyimbo ambazo Yana mashairi mazuri mkuu kazitafute
Wasanii wamekataa unafki.Waimbe uongo wakati sasa hv hamna mapenzi ni mkwanja tu
Nguvu za kiume kwishnaHabarini,