Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umemaliza Mimi sitoweka neno,mtoa post sio mtu wa mziki,wakina Sabrina carpenter,Nikki,Ella Mai,Dua Lipa,wanatoa kazi Kila siku,yeye anamskiliza Doja catNi wewe tu umezeeka, alafu kingine lazima ujue ile rnb na soul ya mpka miaka ua 2000 haipo tena...trend imehamia kwenye pop na country! Ukitaka maneno matamu ya mapenzi basi sikiliza country, japo pop na makelele yake no wanajitahidi!
Na hamna watu wanaandika kama hawa wamarekani!
Country music Ndio mziki ambao umebaki iuwa mziki wa heshima na ambao haujavamiwa na wapuuziKama umepata wasaa wa kuwasikilizq akina Trisha Yearwood, Faith Hill, Carrie Underwood na Reba McEntire na hukuwaelewa ndo basi tena [emoji3]
I think unaongelea different types of music. Even in the 80s sio track zote zilikuwa za love, zipp za street hustling pia.Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Hawajafika levels za malegend akina James Ingram , Boyz to men , Phil Collins , Whitney ,Patcy Cline , Michael Bolton , Steve wonder nkJapo nyimbo nyingi hasina depth na lyrics kali kama ballads lakini nyimbo za mapenzi bado zipo mkuu.
Msikilize Ed Sheeran, summer Walker, Adele, Ella Mai, Muni Long, Bruno Mars "Silk sonic" Etc..
Wengi wanaimba RnB Ila zile ballads kama za kina whitney, luther, Celine zimepotea kiasi. Kwa sasa anaziimba adele tu
Zimezidi sana lo
Brother legends ni legends lakini pia hizo ballads na RnB zinapambana sana music market kwa sasa. Ila bado kuna wasanii wanaotoa quality music ambayo hata ingetoka 1980's bado zingekuwa ni hit songsHawajafika levels za malegend akina James Ingram , Boyz to men , Phil Collins , Whitney ,Patcy Cline , Michael Bolton , Steve wonder nk
Mziki ulikuwa umepangika kimashairi ,ujumbe wa kuelimisha , sauti tamu na instruments zinadunda sauti za kueleweka, sio sasa hivi wanajiimbia upuuzi tu ilimradi .
Ngoja nikupe ladha kidogo ..
Kasikilize ngoma za hao malegends ,halafu rudi hapa utoe mrejesho ....
View attachment 3003033
Uzuri uzi haujafika mbali, napenda nimjazie hizo nyimbo zipo, na zinaimbwa vizuri zaidi. Maybe yeye anafatilia hizo nyimbo za matusi ila souls bado zipo na zinatoka kila kukicha. Marekani , uk hazijawahi chacha nyimbo za soul.Mi namuongezea
Love me like u do-Ellie Goulding
I dont wanna live forever -Zayn & Taylor Swift
Capital letters -Hailee Steinfeld
For you -Liam Payne & Rita Ora
Hold my Hand - Jess Glynne
Kizazi kishabadilika. Mfano mzuri hata hapa bongo nyimbo siyo zile za Nigger J aka professor J ya Chemsha bongo.Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Upo juu unajitafuta na kifo cha mende, mwanamke anawaza ataondoka na shiling ngapi.Mapenzi yenyewe siku hizi hayana utamu wowote sasa iweje watoe nyimbo za kitu kisichokiwepo