Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

Wewe unafanya kazi hadi saa 9 za usiku ?
Hata iwe kwa zamu. Wewe ushawahi ?

Huwezi ku generalise kuwa Polisi wote hawafai au sio waadilifu.

Polisi ni Raia kama raia wengine.
Ndio maana unaona ufisadi kila sekta za umma inafanyika vitengo ambavyo sio vya kipolisi.

Kwa ujumla Polisi wamefanikiwa katika huduma zao.
Hii haizuii kuwa na kasoro maeneo flani flani kama ilivyo katika jamii zetu zingine.

Maadili ya Polisi lazima yaanzie kwa jamii ambako Polisi wanazaliwa na kulelewa na kufundishwa shuleni na vyuoni vya kiraia.
Kama jamii haitekelezi majukumu yake ni vigumu kupata Polisi waadilifu.

Hivyo ni jukumu la jamii nzima kupandikiza maadili mema kwa watoto na raia kwa ujumla.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ujue.
 
Uko sawa kwa upande wako.. !

Hakuna sehemu yoyote niliyogeneralize polisi wote na hakuna sehemu niliysema " polisi hawafai" au hata kusema polisi wote hawafai"

Soma ulichonijibu na soma tena ulichokiandika,

Napia kafuatilie houtuba ya amiri jeshi mkuu wako wa nchi kaongea nini na amewapa maagizo gani nyinyi polisi!!
 
Wanadhulumu raia mali zao?

Wanabambikia raia kesi?

Wanachukua rushwa kwa nguvu?

Wanapiga raia hovyo hovyo?

Wananachukua wake za watu kwa nguvu?

What' s wrong with PT?
kwasabab hawafanyi kazi ya jeshi la police
 
upotoshaji,ili tusitupie lawama kwa jeshi? umefeli braza
 
Tuambie ndugu mbambikiaji,mbina unajihami keanu nawe mmoja wao?
hata kama mm sijawah kudhurumiwa na jeshi la police,lakin nimeshuhudia kwa wengine wengi maovu waliyotendewa na jeshi la police na si kuwa ni kwa bahati mbaya bali ni kuwafurahisha baadhi ya watetea matumbo yao
 
Ni baadhi tu yao tena ni wachache sana.
Polisi wengi ni weredi sana na wana busara nyingi.

Licha ya kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana ni wavumilivu sana.

Nalipongeza sana Jeshi la Polisi kwa Utumishi Uliotukuka.
Subiri siku wakufanyie cha kukufanyia hiyo toa harufu ya kinyesi kama unavyo toa hapa.
 
Wanalinda matumbo yao,ndo maana ni manyang'anyi hayo.
 
Umeandika kinafiki sana,ni%00.5 ya polisi ni waaminifu.
 
Sijui ila mimi nimeona hii video wananchi wakitaka kupigana na polisi mwenye bastola baada ya kuona anawafuata fuata ilihali wameshampa pesa. View attachment 1912664
Raia wameshachoka, Polisi na bomba lake mkononi Raia yuko tayari wazipige mtu mbili.

Kweli inauma Mkuda kashepewa Pesa, bado anaendelea kuleta ukuda
 
Apia.
 
Kwa maneno mengine, polisi na CCM ni washirika katika uhalifu (Partners in crime).
 
Maaskari wengi Ni wahalifu na wanababikimbia Raia kesi na kutaka rushwa ndio maana hamza kawanyoosha baadhi
Yaani Rushwa ni tatizo kubwa, tena ya kulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…