Mkuu alichofanyiwa mbatia na kamati yake Jana, nadhan swali hili linaweza kukupa mwanga wa jibuWanadhulumu raia mali zao?
Wanabambikia raia kesi?
Wanachukua rushwa kwa nguvu?
Wanapiga raia hovyo hovyo?
Wananachukua wake za watu kwa nguvu?
What' s wrong with PT?
Mimi mwenyewe nilishabambikiziwa kesi na polisi sina nao hamuMaaskari wengi Ni wahalifu na wanababikimbia Raia kesi na kutaka rushwa ndio maana hamza kawanyoosha baadhi
Ndo wabambikie kes, kudhulum, kupiga watu ovyo, rushwa za kuforce? Kwa kua wanalala nje kazin ? Kama mshara mdg wameforciwa kufanya iyo kaz?Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Mbona hata madaktari, wajeda hulala nje ya familiar zao wakifanya kaxi zao lakini ni waadilifu.in Short jeshi letu la police halina credibility asilimia 98 ni wahalifu. Bora lifanyiwe reformationNdo wabambikie kes, kudhulum, kupiga watu ovyo, rushwa za kuforce? Kwa kua wanalala nje kazin ? Kama mshara mdg wameforciwa kufanya iyo kaz?
Wengi Wana tabia hizo chafu za kufanana, hadi nawaza kuhusu mafunzo Yao huwa yakoje?Mimi mwenyewe nilishabambikiziwa kesi na polisi sina nao hamu
Daaah!!!!Sasa unategemea Polisi wapendwe na wananchi kwa majukumu yao haya ya kukitumikia chama badala ya wananchi?
View attachment 1912594
Una cheo gani?? Wewe ni msemaji was polisi mitandaoni??? Msipojirekebisha mtakuwa hunted....Time will tellWewe walikufanya nini Polisi hadi upaniki namna hii ?
Naona hadi busara imekutoka kabisa.
Tuelezee ulionewa nini ?
Well clarified[emoji106]Hawachukiwi na watu wote, wanaowachukia ni baadhi tu ya raia kutokana na sababu mbalimbali kama.
1. Baadhi ya wananchi ni wahalifu adui yao ni Polisi.
2. Baadhi ya Polisi (wachache sana) hawazingatii kufanya kazi kwa miiko ya Jeshi la Polisi.
3. Baadhi ya raia wanasikia tu kuwa Polisi ni wabaya na wanaamini bila kujiridhisha.
4. Baadhi ya raia hata hawajui majukumu ya Polisi na hawataki kuyaelewa.
5. Hakuna elimu ya kutosha ya kuwafahamisha raia majukumu ya Polisi.
6. Baadhi ya Polisi wanajiweka kando na raia. (Mtoto akimwona Polisi anakimbia anamwogopa kwani kila akimwona basi anakuja kukamata wahalifu, hajawahi kumwona akishirikiana na raia ktk jambo lolote zuri)
7. Baadhi ya Polisi ni wakali sana hata kwenye jambo lisilohitaji kufanyika kwa ukali, wanatumia nguvu kupita busara. Inasababisha Polisi kumwona
kila raia ni mhalifu, hali kadhalika raia naye kumwona kila Polisi ni Adui.
8.Baadhi ya Polisi wanawadharau raia, hivyo kukosa ushirikiano wa karibu na raia.
9. Baadhi ya Polisi wanawatisha raia. Wanajiweka katia hali ya kutisha.
Hata raia akiona jambo baya mahali anaogopa kuliripoti Polisi ili kuondokana na hasara anayoweza kuipata binafsi kama, kugeuziwa kesi nk.
10. Ukosefu wa Elimu ya kutosha ya "Mahusiano ya Polisi na Raia" yaani ( Civil Police Relations) katika jamii ya Police na Raia.
Kuna haja ya kusisitiza mtaala wa (Thamani ya Raia kwa Polisi)
Katika vyuo vyetu vya Polisi.
Pia Nadharia ya Polisi Shirikishi itiliwe mkazo.
Elimu ya, wajibu wa Polisi, inabidi nayo itolewe kwa vijana mashuleni na kwa wananchi wote. Ili wajue majukumu yao halisi na wasaidiane nao kwa kiwango gani.
Machache ninayoweza kusema.
Kuna wazee walikuwa polisi wakaacha kazi wakasema ni kazi yenye laana sana kutokana na dhuruma, wakaenda mbali zaidi na kusema dhuruma zingine ni za kushinikizwa na wakubwa, "...muda mwingine unashinikizwa kudhurumu uhai wa mtu asiye na hatia" alisikika akinung'unika "...nikamkumbuka Daudi Mwangosi alivyodhurumiwa uhai wake kinyama"Luka 3:
Luke
14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
14 Likewise the soldiers asked him, saying, "And what shall we do?" So he said to them, "Do not intimidate anyone or accuse falsely, and be content with your wages."
Hoja iko mezani, inachangiwa kwa hoja.Una cheo gani?? Wewe ni msemaji was polisi mitandaoni??? Msipojirekebisha mtakuwa hunted....Time will tell
Onesha tusi nililotukana....Wewe unaleta matusi,
Soma tena nilichoandika. Una panic kizembe Sana....Una mihemko na mahaba ya hiyo ajira yako ya upolisi...Je hayo ndiyo maadili tunayoyazungumzia hapa ?
Kuwa hunted ndio sifa gani ?Onesha tusi nililotukana....
Hapa tunachangia Mada.Soma tena nilichoandika. Una panic kizembe Sana....Una mihemko na mahaba ya hiyo ajira yako ya upolisi...
Jirekebisheni.. muda ni mwamuzi mzuri.
Nipo kipembeni nadere
Hahahaha.....sio kosa langu wewe kutokuwa na exposure na lugha za wengine..Kuwa hunted ndio sifa gani ?
Hilo ni zaidi ya tusi.
Im i an animal ?
ndio maana sisi kama wananchi hatuwezi kuwa na upendo na waoWanafanya UGAIDI.
Siku nyingine, changia mada husika, acha kushambulia wachangiaji.Hahahaha.....sio kosa langu wewe kutokuwa na exposure na lugha za wengine..
Pole sana
Peleka upuuzi huko....Humjui unayemshambulia, anaweza kuwa baba yako mzazi.