Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,094
- 942
bro wewe ni msemaji wa tanpol?..unajitahidi kupangua hoja shida ni kuwa hoja zako hazina mashikoHoja iko mezani, inachangiwa kwa hoja.
Wewe unaleta matusi, kejeri na vitisho.
Badala ya kuchangia hoja.
Halafu unawalaumu Polisi kwa kutokuwa na Maadili mema.
Je hayo ndiyo maadili tunayoyazungumzia hapa ?
Kuwa hunted ndio kitu gani ?
Eti wachacheNi baadhi tu yao tena ni wachache sana.
Polisi wengi ni weredi sana na wana busara nyingi.
Licha ya kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana ni wavumilivu sana.
Nalipongeza sana Jeshi la Polisi kwa Utumishi Uliotukuka.
We ni polisi?Umewauliza Wananchi wote wa Tz wamekujibu hivyo? Au ni halmashauri ya Kichwa chako pekee ime conclude hivyo..!! Kuna jamaa hiyo kitu ikikutokea wanaita 'Hallucinations'....! Iwapo itaendelea watakuita Mgonjwa Wa Akili..Be careful.
Pumbavu wewe eti uchumi mdogo,kwa hiyo kwa Wabunge uchumi ni mkubwa Ila kwa polisi uchumi ndio mdogo?Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Accomplices.Kwa maneno mengine, polisi na CCM ni washirika katika uhalifu (Partners in crime).
Kesi ya ngedere kula mahindi ya mwanadamu nyani anawekwa kuwa msuruhishi!Kuna polisi alinidhulumu laki na 80.mzee siro anatakiwa aunde dawati la mwananchi katika vituo vikubwa.kwa ajili ya wananchi kupeleka malalamiko yao dhidi ya polisi hii itasaidia kuweka mahusiano mazuri kati ya raia na jeshi la polisi.
Samaki mmoja akioza wameoza wote. Na ndani ya tenga la samaki polisi, sio wameoza, wamevunda na funza wanadondoka.Eti wachache
Unadanganya watu. Umewahi kuta kituo cha polisi kijijini, au kitongoji mbali na katikati ya mji? Dhumuni la polisi ni kulinda viongozi na mali zao. Ukiwaona wanafanya patrol ni kukuonya usije thubutu sogelea maeneo ya wakubwa.Pumbavu wewe eti uchumi mdogo,kwa hiyo kwa Wabunge uchumi ni mkubwa Ila kwa polisi uchumi ndio mdogo?
Unaonekana una msongo wa mawazo.Peleka upuuzi huko....
Shwain
Changia Madabro wewe ni msemaji wa tanpol?..unajitahidi kupangua hoja shida ni kuwa hoja zako hazina mashiko
Duniani kote Wabunge wanalipwa zaidi ya Polisi.Pumbavu wewe eti uchumi mdogo,kwa hiyo kwa Wabunge uchumi ni mkubwa Ila kwa polisi uchumi ndio mdogo?
Sasa kwa nn useme eti uchumi mdogo?Dunia kote Wabunge wanalipwa zaidi ya Polisi.
Wabunge ndio wanaoamua walipwe kiasi gani.
Polisi hana maamuzi ya Malipo yake.
Au hufahamu hii habari.
Muulize Jerry Slaa kwanini aliitwa kuhojiwa kamati ya maadili ya Bunge.
...na ukiwaona kwa maskini ujue wanafuatilia kumpora wameshapata taarifa kuna lofa mmoja amepata pesa either kwa uhalali au njia isiyo halaliUnadanganya watu. Umewahi kuta kituo cha polisi kijijini, au kitongoji mbali na katikati ya mji? Dhumuni la polisi ni kulinda viongozi na mali zao. Ukiwaona wanafanya patrol ni kukuonya usije thubutu sogelea maeneo ya wakubwa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo, uchumi ukiongezeka na malipo ya Polisi wetu yataongezeka.Sasa kwa nn useme eti uchumi mdogo?
We jamaa bana,Yan umepumbazwa na wewe unakubali kwamba uchumi mdogo.Ndio hivyo, uchumi ukiongezeka na malipo ya Polisi wetu yataongezeka.
Ndio hesabu za uchumi zinavyosema.
Na wanakwambia kabisa ukiingia selo ni bure ila kutoka ni hela, yaani sehemu ya usalama imekuwa sio salama
Uchumi wa TZ unalingana na wa nchi ya China ?We jamaa bana,Yan umepumbazwa na wewe unakubali kwamba uchumi mdogo.
Yote yanaweza kuwa majibuWanadhulumu raia mali zao?
Wanabambikia raia kesi?
Wanachukua rushwa kwa nguvu?
Wanapiga raia hovyo hovyo?
Wananachukua wake za watu kwa nguvu?
What' s wrong with PT?