Kwanini wananchi wengi wanawachukia wabunge hivi?

View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Na wewe hauna maana, unaacha mambo ya maana unatuletea hawa wanaotengeneza posho bila jasho, hawa si wachezaji wa kulipwa sasa kwanini walipwe posho za siku?
 
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Ni washenzi wachumia tumbo hawana faida yoyote kwa nchi hii
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Wasubiri kunyolewa kwa chupa au kioo tena bila maji mwakani

Hata sidhani kama wanajua kuwa wamepata ajali
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Kinajua ajali imesababishwa na Mbowe

Ni walewale tu hana jipya

Hukumu yao inakuja, hiyo ilikuwa ni dibaji tu,

Anayepitisha majina

Nayo italipwa sambamba na matendo yake
 
Majibu yako yamenivunja mbavu si kwa sababu ni kichekesho bali ni ukweli mtupu uliochanganywa na ucheshi.
 
Na wewe hauna maana, unaacha mambo ya maana unatuletea hawa wanaotengeneza posho bila jasho, hawa si wachezaji wa kulipwa sasa kwanini walipwe posho za siku?
Sina maana tena? Je wewe unayo kwa matusi haya tena bila sababu mwanangu? Kwani niliwachagua na ninawalipa mimi peke yangu bila ya kodi yako kama kweli hawana maana kama unavyotaka kutuaminisha?
 
Wabunge wajitathimini.wafanye kazi Kwa kuzingatia matakwa ya wananchi na siyo kuzingatia matakwa ya serikali inavyotaka hata kwenye mambo ya kipuuzi.Kwa namna bunge letu linavyoendeshwa ni Bora kabisa hata likasitishwa tu na hakuna tatizo lolote litakalotokea.
 
Sina maana tena? Je wewe unayo kwa matusi haya tena bila sababu mwanangu? Kwani niliwachagua na ninawalipa mimi peke yangu bila ya kodi yako kama kweli hawana maana kama unavyotaka kutuaminisha?
Usihoji kuhusu tunaowachukia kwani nao hawtupendi ndiyo sababu wakishasimikwa hatuwaoni mpaka msimu ukiisha wanapokuja kuandaa mashamba upya.
 
Ni washenzi wachumia tumbo hawana faida yoyote kwa nchi hii

Wasubiri kunyolewa kwa chupa au kioo tena bila maji mwakani

Hata sidhani kama wanajua kuwa wamepata ajali

Kinajua ajali imesababishwa na Mbowe

Ni walewale tu hana jipya

Hukumu yao inakuja, hiyo ilikuwa ni dibaji tu,

Anayepitisha majina

Nayo italipwa sambamba na matendo yake
Most people tend to refer to Plato’s cave allegory as the main theme in republic (but that has significant meaning in psychology of control).

Most influential part of Plato’s republic is the ship allegory and Aristotle explanations on what ought to be done to run a country. Huo ndio msingi wa civil services.

Wanasiasa can do what they wish wana taratibu zao.

Watanzania tupo tayari kusifia ooho Lissu ni ‘cheaf whip’ wa CDM bungeni, lakini atuelewi nini hasa maana yake,

Neno ‘whip’ kwa tafsiri ya kishahili ni ‘mjeledi’.

Kazi ya ‘whip’ bungeni ni nini, jukumu lake ni kuwaweka kwenye mstari wabunge/representative katika hoja za msingi wa chama.

Chama kinaweza kuwa na mandate ya kuendesha nchi kwa kushinda uchaguzi. Maana yake wanaamuzi ya dira. Raisi na baraza lake la mawaziri wake ndio wenye mandate hiyo.

Maamuzi mengine inabidi yapite bungeni, hapo ndio whips wa chama wanaopoingia kazini lazima uheshimu hayo maamuzi. Na whips kama tafsiri inavyosema ukikaidi mara tatu kwa siasa za vyama vingi unaweza ingia kwenye mgogoro mkubwa kama sio kufukuwa chama.

Kuwalaumu wabunge wa CCM ni uelewa mdogo wa siasa.

Counter argue wa maamuzi ya serikali ni senior civil, sasa hapo ndio inabidi uelewe Plato ship allegory kwa maelezo ya Aristotle.

Shida ni kwamba wengi wenu humu hamjasoma siasa,

Nchi za Africa sio maskini by design, isipokuwa by ability.

Ndio ukweli
 
Wabunge wa CCM ni hovyo.

Lakini uhalisia ni kwamba wabunge sio independent people, lazima wawe in toe na party lines.

Kuna hoja za majimboni kwao wanaruhusiwa kujiachia, kuna maamuzi ya serikali wabunge wa chama tawala wanatakiwa kuyabariki.

Ndio maana House of Representatives zote duniani zina (whips) wa chama ndani ya house/s of representatives kuhakikisha wawakilishi wao wanakuwa in toe na maamuzi ya serikali yale ambayo serikali inataka yapite.

Bunge for the most part ni kiini macho sio Tanzania tu, hizo ni taratibu za siasa duniani.

Yes, now and then you get rebels kama Mpina ndani ya vyama tawala but that’s not the majority.

Lakini kuwalaumu wabunge for the most part ni kuwakosea, sidhani kama kuna bunge duniani lina wabunge wote wa serikali wanakubaliana na kila kitu wanachopigia kura za ndio, isipokuwa wanatakiwa kufanya hivyo (that’s how party politics works).

Mungu awape nafuu majeraha
Kumbuka pia hawakuchaguliwa na wananchi hiyo pia ni sababu ya kukosa uungwaji mkono.
 
Wacha nikupe tu point żako, maana MaCCM nayo kuyatetea mtihani; kila sehemu yameharibu.

Lakini tuwatakie ugua pole wahusika, huo ndio utanzania.
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Tutawapenda vipi Wabunge walioamua kujilimbikizia pesa za Watanzania kwa kupitisha malipo makubwa kwa wao wenyewe, familia za viongozi hata waliostaafu ili hali sisi wanyonge tukikandamizwa. Wabunge wameshindwa kuisimamia Serikali katika mambo mengi. Watanzania wanatekwa na kupoteza haki ya kuishi kila kukicha na Wabunge wapo wamekaa kimya, je tutaachaje kuwaombea na wao waione kuzimu?
 
Na wewe hauna maana, unaacha mambo ya maana unatuletea hawa wanaotengeneza posho bila jasho, hawa si wachezaji wa kulipwa sasa kwanini walipwe posho za siku?
Wamelipwa 15,000,000 kwenda Kenya Tu kushiriki michezo, Walimu waliosimamia uchaguzi wa kipumbavu wamelipwa 40,000 kwa siku
 
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??

COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:

1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
😲😲😲
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Wanaupiga mwingi
 
Mkuu umehoji vizuri sana, kazi kwao.
 
Kuwachukia ni ujinga na inaonekana tulivyo wajinga, na hakuna changes ilio wahi letwa kwa kichukia watu. Kikichopo ni kuwa fight na sio kuwachukia
 
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??

COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:

1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Inasaidia nini na Bungeni watarudi tena, Huu ni ujinga,Watanzania real ni wajinga sana,
 
Wabunge wa CCM ni hovyo.

Lakini uhalisia ni kwamba wabunge sio independent people, lazima wawe in toe na party lines.

Kuna hoja za majimboni kwao wanaruhusiwa kujiachia, kuna maamuzi ya serikali wabunge wa chama tawala wanatakiwa kuyabariki.

Ndio maana House of Representatives zote duniani zina (whips) wa chama ndani ya house/s of representatives kuhakikisha wawakilishi wao wanakuwa in toe na maamuzi ya serikali yale ambayo serikali inataka yapite.

Bunge for the most part ni kiini macho sio Tanzania tu, hizo ni taratibu za siasa duniani.

Yes, now and then you get rebels kama Mpina ndani ya vyama tawala but that’s not the majority.

Lakini kuwalaumu wabunge for the most part ni kuwakosea, sidhani kama kuna bunge duniani lina wabunge wote wa serikali wanakubaliana na kila kitu wanachopigia kura za ndio, isipokuwa wanatakiwa kufanya hivyo (that’s how party politics works).

Mungu awape nafuu majeraha
Sasa haya unayo sema yatabadilishwa kupitia kuwachukia?Tufike magali tuache ujinga
 
Back
Top Bottom