Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Wakristo ni watu wepesi kujamiiana/ kujumuika na watu wengine sio kwamba hawawezi kuchinja ila waislamu wana kasumba ya kutokula kilichochinjwa na watu wenye imani nyingine.

Kwahiyo wakristo wanawaita waislamu ili akikaribishwa isilete shida ndio maana machinjio yote wapo waislamu na wakristo wamekubaliana na hali hiyo ili kutoleta migogori isiyo sababu.
 
Duh hivi mtu unaanzaje hata kugombania kuchinja mnyama?
Huo ukatili wote ni wa kuugombania ?

Si ukae tu ule nyama na waache wachinje? Mimi kwangu kwanza hata wangekataza na kunyonyoa pia ili kuchinja na kunyoyoa iwe kwao tu ingekuwa poa sana!
 
Back
Top Bottom