Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Kuna siku katika mji fulani mnyama kiboko aliingia mtaani ikabidi mtu wa wanyapori aitwe akampige risasi, hilo lilipofanyika umati wa watu ulifurika kugawana nyama na hakuna aliyetaka kuuliza mchinjaji nani🙂
 
Si kwamba Wakristo awaruhusiwi kuchinja, Waislamu awali nyama isiyotamkiwa maneno ya kuchinja, Wakristo hawana shida wao wanaamini
wapo salama kupitia kuombea chakula. but kibiashara imeshaurika achinje Muislamu Ili pasiwepo na kisingizio cha kutokula.
Hata mfumo wa uchinjaji kwa kutumia mashine umetengenezwa ni automatic unamuelekeza mnyama uelekeo wa Kaskazini na pia kisu kimeandikwa maneno ya kuchinja.
 
Wakristo ni watu wepesi kujamiiana na watu wengine sio kwamba hawawezi kuchinja ila waislamu wana kasumba ya kutokula kilichochinjwa na watu wenye imani nyingine.

Kwahiyo wakristo wanawaita waislamu ili akikaribishwa isilete shida ndio maana machinjio yote wapo waislamu na wakristo wamekubaliana na hali hiyo ili kutoleta migogori isiyo sababu.
KuJAMIIANA sio?
 
Afu wakija huchinja kwa jina la nani? Wanamkabidhi Mungu yupi huyo mnyama wako?
 
Afu wakija huchinja kwa jina la nani? Wanamkabidhi Mungu yupi huyo mnyama wako?
Kukiwa na ulazima wakristo sio wabishi huwapa waislamu wachinje lakini nao wanaweza kuchinja kawaida tu.

Ilo suala la kusema wanamkabishi Mungu gani ndipo wakristo wameona itatokea competition ya kipumbavu isiyo maana, ndio maana wao wamekubali.
waheshimuni pia maana wamevuka viwango vya ustaarabu.
 
Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Hao wanawapelekea ni wajinga wachache na labda pia in waoga was kuchinja... Binafsi huwa nachinja mwenyewe na hata tangu nipo mdogo mama alikuwa akichinja.
 
Back
Top Bottom