Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Hapana ndugu yangu tunapeana elimu na maarifa,ili watu wajue nani anaruksa ya kuchinja na ni kwa nini anachinja
Hizi taarifa huwa unazitaka kipindi Rais Akiwa Muislam tu eenh? Kipindi cha mwendazake ulikuwa kimyaa? Acha kujifichaficha na ajenda zako na waliokutuma mkuu, (jamba usikike, kujibanabana utaumia tumbo).
 
IMG-20220530-WA0006.jpg
 
Hizi taarifa huwa unazitaka kipindi Rais Akiwa Muislam tu eenh? Kipindi cha mwendazake ulikuwa kimyaa? Acha kujifichaficha na ajenda zako na waliokutuma mkuu, (jamba usikike, kujibanabana utaumia tumbo).
Mwendazake mwenyewe alikuwa anakula vilivyochinjwa na Waisilamu
 
Kama kuna Waislamu kwenye nyumba yako na unategemea watakula basi kiungwana unawapa wachinje. Ila kama hujali unajichinjia mwenyewe tuu
Lakini unajua wanachoongeaga wakati wanachinja? Kuna siku nimeenda sokoni eti wachinjaji hawapo nikamwanbia wewe hauwezi ? Eti mie Mkristo haaa nikamwanbia acha kunipotezea muda chinja unipe niondoke zangu
 
Ukichinja unapewa miguu, kichwa na utumbo na ka 500 kwanini nyumbani wasile nyama kila siku!
Hayo ni makubaliano na mchinjaji lakini hakuna sharti la kumchaji unayemchinjia na inategemeana na ukubwa wa mnyama,mfano umeniita nikuchinjie mbuzi au ng'ombe lazima nitakucharge
 
Lakini unajua wanachoongeaga wakuwa wanachinja? Kuna siku nimeenda sokoni eti wachinjaji hawapo nikamwanbia wewe hauwezi ? Eti mie Mkristo haaa nikamwanbia acha kunipotezea muda chinja unipe niondoke zangu
Ulikula kibudu pole sana
 
Kwanini hukutoa mfano kwa dini ya marasta? Huo ni uchonganishi.
Marasta hawali nyama sababu ya Upendo waliokuwa nao kwa wanyama,yaani anaona kwamba atatoaje uhai wa kitu kwa ajili ya tamaa zake na akakatisha kizazi cha yule mnyama,ndiyo maana badala ya kula nyama ya n'gombe wanakunywa maziwa
 
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Mwenyezi Mungu amekataza ni haramu,kuanzia nyama yake mpaka mavi yake inamaana hata mbole ya nguruwe kwa Muisilamu ni haramu,lakini siyo kwamba tukimuona tumpige,hapana ana haki zake kwani ni kiumbe wa Mwenyezi Mungu
 
Ulikula kibudu pole sana
Kwani ananyonga ? Kwani kabla ya uislamu wakristo hawakuwa wanakula nyama? Kijijini kwetu kulikuwa na familia moja tu ya waislamu na sijui walitokeaga wapi? Nani awafuate wakachinje ha ha ha , tena kama wafugaji walikuwa wakijichinjia huko porini kwao!
 
Back
Top Bottom