Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Hawa jamaa bhana kuanzia uchinjaji,uvaaji,,lugha na vyakula mfano alkasusi vyote ni utambulisho wao halafu wanadai kila mtu alizaliwa muislamu yaani ni usanii uliopitiliza!tuwaachie tu wachinje wasife njaa.
Kila kichanga huzaliwa kikiwa kiisilamu,ndiyo maana Waisilamu hawabatizwi,na ana anza kuhesabiwa dhambi pindi anapobarehe au kuvunja uongo
 
Ulitakaje?eti mwelekeo wa uchinjaji uwe makka!upumbavu wenye phd huu!
Sawa bwana,haupingani na Mimi utakuwa unapingana na mwenye Mamlaka juu yako,ambaye amekuumba ukiwa dharili kabisa,yaani hata inzi tu alikuwa anawanyima usingizi wazazi wako kukuacha peke yako,halafu ukishakuwa mkubwa unaanza kumuuliza wewe nani,halafu ipo siku utakuwa hata kujigeuza huwezi,watabaki wanakunyoosha na kukufanyia ambacho laiti ungekuwa mzima usingependa ufanyiwe.Huyo ndiyo binadamu
 
Iko hivi kuna Uisilamu na Muisilamu,Uisilamu unabaki kama Dini isiyokuwa na Mapungufu,lakini huyu Muisilamu anamapungufu yake na sisi haturuhusiwi kumuhukumu ipo siku atamludia Mola wake akafanya toba,na sisi hatujui kesho yetu itakuwaje,tunaweza kuwa wakosefu zaidi yake
Mbona kuna hukumu hadi za kifo au pale mnyaazi huwa anasaidiwa?
 
Kuna siku nilimtembelea dada yangu pale Riverside-ubungo,akadaka kuku akawa anamchinja..... kumbe Kuna jamaa pale mvaa vipedo aliongea sana mpaka nikatoka nikamwambia kama ni mbona unaingilia maisha ya watu na kuwapangia Cha kufanya? Ooh hiyo ni kifuru, nikamuuliza maswali kadhaa nikaona anaanza kuniletea story za dini yake nikamcheka na kumuona mjinga sana...... yaani unalazimisha watu wafanye kitu kufuata dini yako?
Labda wakichinja wao huyo mnyama anaenda peponi.
 
Huo uchinja wa mnyama kama huyo kunataratibu zake,kwanza anayempiga risasi lazima awe muisilamu na kabra ya kupiga kuna maneno ya kusema,hapo hawezi kuwa kibudu
Labda lingetafutwa neno jingine badala ya kuchinja ikiwa mnyama amepigwa risasi
 
Si kweli. Uislam hauna hata miaka 2000 hapa duniani,kabla ya hapo waliozaliwa walikua dini gani? Huwa mnadanganyana sana.

Binadamu anazaliwa bila dini anakuja kuipata kwa wazazi,walezi wake
Kila kichanga huzaliwa kikiwa kiisilamu,ndiyo maana Waisilamu hawabatizwi,na ana anza kuhesabiwa dhambi pindi anapobarehe au kuvunja uongo
 
Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Hao wanauelewa ubora wa Uislam na wanaelewa mafundisho yao Kikristo kuwa wanyama wana njia zake za kuchinjwa ili wasile kibudu, wanafahamu kuwa Waislam wanafata maagizo ya Mwenyezi Mungu.

Wale waliokuwa finyu tu (ignorants" wasiotaka kufata maagizo ya Muumba wao ndiyo wanautazama Uislam kama kitu cha ajabu.

Kama kuna "Mkristo" kwa maana ya kumfata Yewsu basi "Mkristo mzuri zaidi leo hii duniani ni Muislam.

Anaemfata Yesu nje ya Uislam anajiita tu Mkristo bila kuelewa ni nini maana ya kuwa Mkristo, anafata mafundisho ya watu wanaompoteza badala ya kufata mafundisho aliyopewa na kutumwa Yesu kutufikishia.
 
Si kweli. Uislam hauna hata miaka 2000 hapa duniani,kabla ya hapo waliozaliwa walikua dini gani? Huwa mnadanganyana sana.

Binadamu anazaliwa bila dini anakuja kuipata kwa wazazi,walezi wake
Si kweli kuwa Uislam una miaka hiyo uliyoitaja. Unajichanganya mwaka aliyokuja Mtume wa mwisho Muhammad Sallah Allahu Alayhi Wasalaam, aliyepewa kitabu cha mwishpo ambacho ni Qur'an na Uislam.

Mitume wote wa kabla ya Muhammad wameuhubiri na kuufundisha Uislam kabla sana ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam.

Nakushauri kwanza uelewe ni nini maana ya Uislam, na ni nini kuwa Muislaam.

Uislam ndiyo dini pekee, duniani leo hii, ambayo wafuasi wake, Waislam, hawafati mtu na wanafata na kujisaimisha kwa Mwenyezi Mungu pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
 
Waislam asili yao ni kuchinja chinja israel mtoa roho
 
Hao wanauelewa ubora wa Uislam na wanaelewa mafundisho yao Kikristo kuwa wanyama wana njia zake za kuchinjwa ili wasile kibudu, wanafahamu kuwa Waislam wanafata maagizo ya Mwenyezi Mungu.

Wale waliokuwa finyu tu (ignorants" wasiotaka kufata maagizo ya Muumba wao ndiyo wanautazama Uislam kama kitu cha ajabu.

Kama kuna "Mkristo" kwa maana ya kumfata Yewsu basi "Mkristo mzuri zaidi leo hii duniani ni Muislam.

Anaemfata Yesu nje ya Uislam anajiita tu Mkristo bila kuelewa ni nini maana ya kuwa Mkristo, anafata mafundisho ya watu wanaompoteza badala ya kufata mafundisho aliyopewa na kutumwa Yesu kutufikishia.
Uroho tu wa vichwa na miguu pia ni njia ya kuwapa waislam rizki ukienda ulaya utakula tu vibudu
 
Back
Top Bottom