Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Hao wanauelewa ubora wa Uislam na wanaelewa mafundisho yao Kikristo kuwa wanyama wana njia zake za kuchinjwa ili wasile kibudu, wanafahamu kuwa Waislam wanafata maagizo ya Mwenyezi Mungu.

Wale waliokuwa finyu tu (ignorants" wasiotaka kufata maagizo ya Muumba wao ndiyo wanautazama Uislam kama kitu cha ajabu.

Kama kuna "Mkristo" kwa maana ya kumfata Yewsu basi "Mkristo mzuri zaidi leo hii duniani ni Muislam.

Anaemfata Yesu nje ya Uislam anajiita tu Mkristo bila kuelewa ni nini maana ya kuwa Mkristo, anafata mafundisho ya watu wanaompoteza badala ya kufata mafundisho aliyopewa na kutumwa Yesu kutufikishia.
Umeongea ukweli,hata Yesu Mwenyewe hakuwahi kula nguruwe au kibudu,inakuwaje wao warahamishe,inamana wamemuiga Mtu
 
Huo unaitwa Ujahili,usijisifie sababu ya kutojua sheria ambazo amekuwekea Muumba wako
😁😁 Kwenye ukristo hakuna sheria ya kututaka kuchinjiwa mifugo yetu na waislam! Tukijisikia kula kuku, ni kuagiza tu! Anakamatwa bandani, anachinjwa, tunakula.
 
Je huyo Yesu mnayemfuata naye alikuwa anafanya hivyo? au alikuwa anafuata utaratibu wanaofanya Waisilamu
 
Uislam gani unao uongelea wewe? Ninachofahamu mimi huo Uislam wenu umeanza kwenye karne ya 5 baada ya Kristo. Yaani miaka ya 400's AD!

Kwa hiyo unataka useme kabla ya hapo watu walikuwa hawachinji mifugo yao? Ni wakati wako sasa kufahamu, dini yenu ya kiislam ilianza miaka zaidi ya 400 baada ya ukristo, na hasa ukatoliki! Kutamalaki duniani kote.
 
Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Ninavyujua mimi ni iv sisi waislam tunachinja kwa sababu tunajua jina la Mungu na tumefundishwa na dini yetu kila tukitaka kufanya jambo bac tutaje jina la Mungu au sifa yake au tushukulu kwa mfano ukitaka kuchinja unasema Bismillahi sasa hao wengine hawajui jina la Mungu sisi atuwezi kula
 
Uislam gani unao uongelea wewe? Ninachofahamu mimi huo Uislam wenu umeanza kwenye karne ya 5 baada ya Kristo. Yaani miaka ya 400's AD!

Kwa hiyo unataka useme kabla ya hapo watu walikuwa hawachinji mifugo yao? Ni wakati wako sasa kufahamu, dini yenu ya kiislam ilianza miaka zaidi ya 400 baada ya ukristo, na hasa ukatoliki! Kutamalaki duniani kote.

Ninavyujua mimi ni iv sisi waislam tunachinja kwa sababu tunajua jina la Mungu na tumefundishwa na dini yetu kila tukitaka kufanya jambo bac tutaje jina la Mungu au sifa yake au tushukulu kwa mfano ukitaka kuchinja unasema Bismillahi sasa hao wengine hawajui jina la Mungu sisi atuwezi kula
Kweli
 
Kilicho chako ichinje peke yako.
Vya biashara vinapigiwa kelele kutokana na imani zao ila dhambi hazipigiwi kelele.
Ni unafiki tu
 
Kila kichanga huzaliwa kikiwa kiisilamu,ndiyo maana Waisilamu hawabatizwi,na ana anza kuhesabiwa dhambi pindi anapobarehe au kuvunja uongo
Tutoleee upuuzi wako, uislamu which? Mbna mnalazimisha sana, khaaaah.
 
Hao wanauelewa ubora wa Uislam na wanaelewa mafundisho yao Kikristo kuwa wanyama wana njia zake za kuchinjwa ili wasile kibudu, wanafahamu kuwa Waislam wanafata maagizo ya Mwenyezi Mungu.

Wale waliokuwa finyu tu (ignorants" wasiotaka kufata maagizo ya Muumba wao ndiyo wanautazama Uislam kama kitu cha ajabu.

Kama kuna "Mkristo" kwa maana ya kumfata Yewsu basi "Mkristo mzuri zaidi leo hii duniani ni Muislam.

Anaemfata Yesu nje ya Uislam anajiita tu Mkristo bila kuelewa ni nini maana ya kuwa Mkristo, anafata mafundisho ya watu wanaompoteza badala ya kufata mafundisho aliyopewa na kutumwa Yesu kutufikishia.
Yaan hapo roho kwatuuu, uongo mtupuuu.
 
Tutoleee upuuzi wako, uislamu which? Mbna mnalazimisha sana, khaaaah.
Hatulazimishi,huo ndiyo ukweli wenyewe,lakini huwezi kuwa wa kwanza,hata waliokutangulia walipinga mafundisho ya Mwezi Mungu wakafata ya binadamu,kama unavyofanya wewe
 
Ahahahaha. Kwa utamaduni wetu sisi Watanzania, mnyama yeyote akichinjwa na mtu yeyote "asiye na ruhusa maalum ya kuchinja" au mnyama aliyechinjwa baada ya kufariki nyama yake inaitwa kibudu.
Ni yupi asiyeruhusiwa na yupi karuhusiwa, hebu kuwa wazi?
 
Hatulazimishi,huo ndiyo ukweli wenyewe,lakini huwezi kuwa wa kwanza,hata waliokutangulia walipinga mafundisho ya Mwezi Mungu wakafata ya binadamu,kama unavyofanya wewe
Hamna hata hoja za msingi, mtutolee figisu zenu.
 
Kuna madhara yapi wanapata walioshika Dini na bado wanakula Chipsi kidari na pepsi bila kuhoji nani kachinja...???
Ni kweli kumuhasi Mwenyezi Mungu wako kuna dhambi na madhala au kuna dhambi peke yake,mfano zina,watu wanapata dhambi na malazi kama ukimwi n.k.

Pombe, nazani ni shahidi mwenyewe jinsi pombe zilivyowaharibia watu maisha tofauti na faida.Kula kibudu kumejikita kwenye dhambi
 
Yaani hata waliompinga Nuhu,Ibrahimu,Musa,Yesu pamoja na Mtume muhamad(S.A.W) walitumia hoja kama zako,kwa kukupa faida mtu huwa anasikia kila kitu akifa,na ndiyo ambapo huwa anaujua ukweli,lakini kusema aludi akafuate ukweli huwa anaambiwa mda wako umekwisha.Usipobadilika sasa hivi utakuja kutana na hiyo hari.Sababu kila nafsi itaonja mauti
 
Waislam kuchinja ni Ibada hivyo imani inawafunga. Wakristo ni neutral kwenye hilo. So inapotokea kitoweo kitakusudiwa kuliwa na wote ndiyo wanaachiwa waislam kuchinjwa but kama hakiusishi basi wakristo hujichinjia fresh tu.
Swali hivi kiafrika mwanamke kama mama yeyoo anachinja?
Ndio wanachinja kuku.
 
Suala la kuchinja halina dini..ni utamaduni tu wa watu na jamii husika.

Sema kwa kuwa watanzania tunaishi kwa upendo basi tuanashirikiana katika kila jambo...hatutaki kukwazana.

Ila kwangu mimi hakuna wakunipangia mnyama wangu nani achinje ukitaka kula sawa usitake kula shauri yako.

Ni vi utaratibu tu wana jamii wamejiwekea ili kuishi kwa pamoja kwa upendo hasa jamii ya kikiristo.

Hayo masuala hayana sheria wala miongozo maalumu ni kama vile mke na mume wanavyoshi hakuna mahali kuna sheria inamtaka mwanamke alale ukutani just mazoea tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Suala la kuchinja halina dini..ni utamaduni tu wa watu na jamii husika.

Sema kwa kuwa watanzania tunaishi kwa upendo basi tuanashirikiana katika kila jambo...hatutaki kukwazana.

Ila kwangu mimi hakuna wakunipangia mnyama wangu nani achinje ukitaka kula sawa usitake kula shauri yako.

#MaendeleoHayanaChama
Naunga mkono msimamo wako. Imekaa poa. 🙏
 
Back
Top Bottom