Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Viongozi wako wa Dini wanapotaka kufanya Shughuli yoyote itakayowakutanisha watu tofautitofauti kama watataka kuchinja ,,,,,,,,,,,,, utamalizia mwenyewe
Kama mdau mmoja alivyobainisha hapo juu, ili kuepusha makwazo kwa imani za wengine huwa mnyama aliyekusudiwa hupelekwa machinjioni huko na kitoweo (nyama mbichi) inaletwa kwenye eneo la shughuli ili kuandaliwa. Hakuna anayekaribishwa kuchinja.
 
Wakristo ni watu watulivu sana, Ingekuwa wale wa upande wa muddy wasingekubaliana na icho kitu.
 
Mm nachinja mwenyewe na kula mwenyewe na wao kitimoto wangu.
Kufuga nifuge mm iweje nishindwe kuchinja?
 
Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Mkristo anaruhusiwa kuchinja lakini tunawaita Waislamu wachinje kwa sababu ndugu zetu hao ni watata ukichinja wewe wanaweza kukuachia nyama wale mchicha
 
Mkristo anaruhusiwa kuchinja lakini tunawaita Waislamu wachinje kwa sababu ndugu zetu hao ni watata ukichinja wewe wanaweza kukuachia nyama wale mchicha
Sawa tu..kuendekeza ujinga ndio kitu sijawahi fanya.

Nyama ikibaki namwaga au nawapa mbwa wale.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila sisi wakristo ni wastaarabu Sana,sijawahi kuona Muislamu Kaja ugeni anauliza Nyama kachinja Nani,huwa wanakula tu siku hizi
Tunafanya ubinadamu,uungwana kuwaita Waislamu wachinje,ndio Mana ndugu zetu Hawa hutuleteaga ubwabwa siku za EID😂
 
Huo uchinja wa mnyama kama huyo kunataratibu zake,kwanza anayempiga risasi lazima awe muisilamu na kabra ya kupiga kuna maneno ya kusema,hapo hawezi kuwa kibudu
Acha uongo nani alisema lazima awe muislam? Tunaishi karibu na mbuga ya wanyama KATAVI Huwa mnyama akiingia kijijini maaskari wanapiga risasi tu.Tena wanakuwa wengi wengine akina John kibao tu na wote tunagombania nyama waislamu Kwa wakristu fresh tu
 

Ndiyo maana tunawaambiaga Uisilamu kaanza nao Baba yetu Adamu kila kitu alipewa utaratibu na Mwenyezi Mungu,kuanzia kutembe,kulala,kujisaidia,kula kujamiana.kila kitu sema mitume kazi yao ni kutukumbusha pale tunaposahau
Unawaambiaga kina
Kila kichanga huzaliwa kikiwa kiisilamu,ndiyo maana Waisilamu hawabatizwi,na ana anza kuhesabiwa dhambi pindi anapobarehe au kuvunja uongo
Hiyo ni Kwa mujibu wa Imani yako na usizoee kuwambia watu walizaliwa waislamu wengine hawapendi.Unachokiamini wewe sio anachoamini mwenzako.
 
Ahahahaha. Kwa utamaduni wetu sisi Watanzania, mnyama yeyote akichinjwa na mtu yeyote "asiye na ruhusa maalum ya kuchinja" au mnyama aliyechinjwa baada ya kufariki nyama yake inaitwa kibudu.
Ni ujinga na umaskini wenzetu wanakimbilia mars sisi tunalilia hakinya kuchinja mbuzi..afika afrika tu
 
Kama mdau mmoja alivyobainisha hapo juu, ili kuepusha makwazo kwa imani za wengine huwa mnyama aliyekusudiwa hupelekwa machinjioni huko na kitoweo (nyama mbichi) inaletwa kwenye eneo la shughuli ili kuandaliwa. Hakuna anayekaribishwa kuchinja.
Huko machinjoni huwa wanawapelekea kina nani waliopewa dhamana ya kuchinja?
 
Ni kweli kumuhasi Mwenyezi Mungu wako kuna dhambi na madhala au kuna dhambi peke yake,mfano zina,watu wanapata dhambi na malazi kama ukimwi n.k.

Pombe, nazani ni shahidi mwenyewe jinsi pombe zilivyowaharibia watu maisha tofauti na faida.Kula kibudu kumejikita kwenye dhambi

Yaani hata waliompinga Nuhu,Ibrahimu,Musa,Yesu pamoja na Mtume muhamad(S.A.W) walitumia hoja kama zako,kwa kukupa faida mtu huwa anasikia kila kitu akifa,na ndiyo ambapo huwa anaujua ukweli,lakini kusema aludi akafuate ukweli huwa anaambiwa mda wako umekwisha.Usipobadilika sasa hivi utakuja kutana na hiyo hari.Sababu kila nafsi itaonja mauti
Heeee,kafa halafu anasikia kila kitu hivi nyie mna akili kweli?
 
Wakristo ni watu watulivu sana, Ingekuwa wale wa upande wa muddy wasingekubaliana na icho kitu.
Mkapa alipowapa uwanja pale morogoro wajenge chuo kikuu walidai eti Gaddaf alimfosi kwa kuwa alikuwa anadaiwa!Hawa mungu wao ana matatizo si bure.
 
Ukichinja unapewa miguu, kichwa na utumbo na ka 500 kwanini nyumbani wasile nyama kila siku!
kuna maswali mengine ni kuleta kutoelewana kwa watu wa imani hizi. ni sawa mwingine akiuliza kwanini ijumaa watu wanqaendelea na kazi wakati ni siku ya kwenda kusali badala jumapili wakristo ndiyo wamependelewa kupumzika siku hiyi kwa kuwa wao ndiyo siku yao kwenda sali. Hebu tuachane na mambo ya kuchokonoa ishu za kiimani mwisho wake siyo mzuri. Hizi tamaduni za kuishi pamoja na kutogombana tusianze ziharibu zitatuletea matatizo makubwa. Maana hata kodi kubwa wanaolipa ni wafanyabiashara wa kiislamu lakini hujasikia wakilalamika kuwa mbona madawa ya nguruwe yananunuliwa kwa kodi zao.
 
Mwislamu alioidhinishwa kwa kazi hiyo. i.e. sio kila mwislamu.
Na sio kila Muisilamu anachinja,lazima uwe na hiyo Elimu.Mimi mwenyewe nilikuwa mkristo na nilikuwa nachinja kabla,lakini kulikuwa na makosa makubwa ya uchinjaji
 
Back
Top Bottom