FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kuna tatizo lipi ikiwa mwenye nyama ataamua kuwapa waliomchinjia?Uroho tu wa vichwa na miguu pia ni njia ya kuwapa waislam rizki ukienda ulaya utakula tu vibudu
Huoni kuwa ni jema sana hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo lipi ikiwa mwenye nyama ataamua kuwapa waliomchinjia?Uroho tu wa vichwa na miguu pia ni njia ya kuwapa waislam rizki ukienda ulaya utakula tu vibudu
Njaa tuKuna tatizo lipi ikiwa mwenye nyama ataamua kuwapa waliomchinjia?
Huoni kuwa ni jema sana hilo?
Aisee imani zinawadanganya watu..., watu wengine na uzee huu basi tungekufa maana tunachinja wenyewe na tunakula na nyama inakua tamu saana hivyo vibudu sijui ndo vinini...Huwa unakula vibudu
Naam, sasa waambie basi wasiwape Wakristo wanojielewa wasiwape mifugo yao Waislam kuwachinjia kama dini yako inakufundisha usimsaidie mwenye njaa, utakuwa unamfata shetani. Au?Njaa tu
Hakuna muislam anaedumisha sala halafu anakula nguruwe!Iko hivi kuna Uisilamu na Muisilamu,Uisilamu unabaki kama Dini isiyokuwa na Mapungufu,lakini huyu Muisilamu anamapungufu yake na sisi haturuhusiwi kumuhukumu ipo siku atamludia Mola wake akafanya toba,na sisi hatujui kesho yetu itakuwaje,tunaweza kuwa wakosefu zaidi yake
Comedy!Siyo Kwa wote,mwanangu mwenyewe Abdi kila siku tunagonga naye kitimoto na ni Swala 5 hadi anasigda........
Si kweli kuwa Uislam una miaka hiyo uliyoitaja. Unajichanganya mwaka aliyokuja Mtume wa mwisho Muhammad Sallah Allahu Alayhi Wasalaam, aliyepewa kitabu cha mwishpo ambacho ni Qur'an na Uislam.
Mitume wote wa kabla ya Muhammad wameuhubiri na kuufundisha Uislam kabla sana ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam.
Nakushauri kwanza uelewe ni nini maana ya Uislam, na ni nini kuwa Muislaam.
Uislam ndiyo dini pekee, duniani leo hii, ambayo wafuasi wake, Waislam, hawafati mtu na wanafata na kujisaimisha kwa Mwenyezi Mungu pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Sahihisho mkuu.Rekebisha KuJAMIIANA na watu wengine labda iwe kuJUMUIKA na watu wengine.....Wakristo ni watu wepesi kujamiiana na watu wengine sio kwamba hawawezi kuchinja ila waislamu wana kasumba ya kutokula kilichochinjwa na watu wenye imani nyingine.
Kwahiyo wakristo wanawaita waislamu ili akikaribishwa isilete shida ndio maana machinjio yote wapo waislamu na wakristo wamekubaliana na hali hiyo ili kutoleta migogori isiyo sababu.
Siyo lazima ukubaliComedy!
iNTERACTION = Kuchangamana = kuendana na..= Kutokujibagua= kujichanganya katika makundi tafauti..Jamiiana ni interaction kwa kimombo.
Japo lina ukakasi kidogo ila hiyo ndiyo maana msingi.
Ndiyo maana tukasema hatuna uwezo sisi wa kumuhukumu mojakwamoja atajuana na Muumba wake aliyemuumba,kumbuka zambi kubwa kabisa katika Uisilamu ni shiriki ikifuatiwa na kuuwaHakuna muislam anaedumisha sala halafu anakula nguruwe!
Muislam huyo HAYUPO!!
Mtoa mada mbona hajibu maswali!!Wao wameruhusiwa na nani, na wewe umekatazwa na nani?
Sawa ngoja nirekebishe,Sahihisho mkuu.Rekebisha KuJAMIIANA na watu wengine labda iwe kuJUMUIKA na watu wengine.....
Tunaposema tumeruhusiwa,maana yake tumepewa utaratibu mzima wa kuchinja na sheria zake,toka kipindi cha baba yetu Adamu,sasa sijui upande wa pili wanapochinja wanautaratibu gani,au wanajichinjia tuMtoa mada mbona hajibu maswali!!
Uisilamu haujaacha kitu,labda tukusaidie kunachakula cha halali,ambacho chuma yake ni ya uhalali,inamaana wewe muhusika umefanya kazi ya halali ukapato pato la halali na ukanunua chakula,na kinyume chake umezulumu,umetapeli au umeiba au aliyekupa hicho chakula ni mshirikina kinageuka kuwa siyo cha halali.Aisee imani zinawadanganya watu..., watu wengine na uzee huu basi tungekufa maana tunachinja wenyewe na tunakula na nyama inakua tamu saana hivyo vibudu sijui ndo vinini...
Mimi ni Mkristo ninaye jielewa! Siku zote nachinja mwenyewe. Hivyo ule utaratibu wa kumuachia mtu shingo, kichwa na miguu! Haupo. Vyote tunakula wenyewe.Naam, sasa waambie basi wasiwape Wakristo wanojielewa wasiwape mifugo yao Waislam kuwachinjia kama dini yako inakufundisha usimsaidie mwenye njaa, utakuwa unamfata shetani. Au?
Huo unaitwa Ujahili,usijisifie sababu ya kutojua sheria ambazo amekuwekea Muumba wakoWamejipachika tu huo umiliki wa kuchinja. Mimi nyumbani kwangu nikitaka kula kuku namuagiza mtoto bandani, anachinja! Tunakula.