Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni wapumbavu pekee ndio hubeba mifugo yao waliyoifuga au kununua kwa fedha zao ikachinjwe na jirani mwenye imani nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuku siwez kumchinja namwonea huruma sanaDuh hivi mtu unaanzaje hata kugombania kuchinja mnyama? Huo ukatili wote ni wa kuugombania ? Si ukae tu ule nyama na waache wachinje ? Mimi kwangu kwanza hata wangekataza na kunyonyoa pia ili kuchinja na kunyoyoa iwe kwao tu ingekuwa poa sana!
Yawezekana kwao kiboko sio mnyama bali yuko kundi la samaki fuatilia vizuriKuna siku katika mji fulani mnyama kiboko aliingia mtaani ikabidi mtu wa wanyapori aitwe akampige risasi, hilo lilipofanyika umati wa watu ulifurika kugawana nyama na hakuna aliyetaka kuuliza mchinjaji nani🙂
Dini ya mnyanzi Mungu ovaaUtakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Wewe jichinjie uone km kuna mtu atakuuliza!Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Kwani hivi Vidari wanavyokula migahawani wanajua vimechinjwa na akina nani....???
Kujiendekeza tu,
Na nguruwe huwa anachinja nani? Huwa mnawapelekea?
Kwani kuchinja kunasheria au unachinja tuWewe jichinjie uone km kuna mtu atakuuliza!
Sasa tukuulize wewe ukipewa nafasi ya kuchinja unachinjaje?au yapi masharti ya kuchinjasio kwamba haturuhusiwi bali ili ilaji uwe na coverage kubwa, sisi ni wakarimu sasa unakuta chakula kimeiva na unapata mgeni mwislamu kweli sasa asiweze kula jamani kisa kuchinja tu, ndio maana kwenye jamii ya mchanganyiko tunaona achinje tubmuislamu
Labda tukuulize wewe mwenzetu,mkristo akakalibishwa mahari akapewa nafasi ya kuchinja mfano mwenyewe utaanzaje?ukijibu swali langu wakristo nawapa point 10Mpaka dakika hii ya 67
Wakristo wanaongoza kwa goal 4-0 dhidi ya waislam.hususani kwenye agenda ya upendo,uvumilimu
Tuendelee
Unapochinja huwa unasemaje?Mimi ni MKRISTO na nimekuwa nikichinja mwenyewe kitoweo changu, iwe Mbuzi au Kuku na sijawahi kuita Mwislamu aje anichinjie.
Mmeirudisha tena hii hoja baada ya kukwama kipindi cha Jk na sasa yupo mama. I smell something fishyUtakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Huo uchinja wa mnyama kama huyo kunataratibu zake,kwanza anayempiga risasi lazima awe muisilamu na kabra ya kupiga kuna maneno ya kusema,hapo hawezi kuwa kibuduKuna siku katika mji fulani mnyama kiboko aliingia mtaani ikabidi mtu wa wanyapori aitwe akampige risasi, hilo lilipofanyika umati wa watu ulifurika kugawana nyama na hakuna aliyetaka kuuliza mchinjaji nani🙂
Hapana ndugu yangu tunapeana elimu na maarifa,ili watu wajue nani anaruksa ya kuchinja na ni kwa nini anachinjaMmeirudisha tena hii hoja baada ya kukwama kipindi cha Jk na sasa yupo mama. I smell something fishy