Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

Wote ambao hawakurudi kushukuru walikuwa wayahudi (jamii yake Yesu). Aliyerudi kushukuru alikuwa msamaria!
 
Na mtu mwenye kuamini kweli hasa hatakaa akafanya upumbavu kama huo.

Hawa unakuta wale wenye imani nusu nusu. Hawapo thabiti.
 
kuna dada wa kazi nyumba jirani basi anapenda hizo shuhuda atari, jana kawasha kiledio chake, eti mtu katoka tabora kaja toa ushuhuda kapona ukimwi
asee nimejikuta nacheka kutokana mkanganyiko wa maelezo yake, huku kuna mtu ana mwingoza kuongea,

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ulifurahi kuona presha imechachamaa..kumbuka hata Yesu aliponya ila alikua anasema imani yako imekuponya..amini kwanza...acha maovu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri anaeamini majini,kuliko anaewaamini Hawa waganga wa kienyeji kina MWAMPOSA na wengineo,eti chumvi ya upako,Mara leso ya upako,Mara sijui chukua mchanga wa pembe nne kwako akauombee, yaani uchawi mtupu na utapeli
Roho mbaya inakusumbua..njoo uombewe hayo majini na maruhani yakutoke..karibu kwa mwamposa ukanyage mafuta upate upako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ni washangiliaji na watoaji sadaka kwa Mwamposa kama wewe. Sio Mwamposa na sio hao wanawake, wanawake hao mnaowasema wapo pale kuteneza pesa na Mwamposa ndio usiseme.
Pesa kila kona inatolewa hata huko uliko kwa waganga wa kienyeji hua unatoa pesa.

Ulitaka watoe nini?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wengi sana na hilo liko wazi tena wanatoka pwani!,Lindi ,Mtwara...ni waislamu pure!
Kwani kuwa muislam ndo nishindwe kuhangaika kutafuta soln napopata matatizo?
Watu sshv wamechoka kunyang'anywa uhuru wao wa,kuamua maisha yao...kila mtu anaenda kuhangaika kivyake apate soln ya shida yake!
Ni Uhuru tu
 
Inamjua Jini wewe!!?..Jini umtishie yesu atoke!!
Kwa jina la Yesu kila goti linapigwa,jini kitu gani kwa Yesu?
Sio yesu ni Yesu!

Tena huwa yanatoka bila kutishiwa mkuu ni mamlaka na nguvu na uweza!
 
Kama una uelewa wa Marketing and Sales huwezi shtuka. Ushuhuda wa mkristo hauna mvuto si ajabu wakapangiwa siku nyingine ila sio siku yenye hadhara kubwa. Ushuhuda wa mwislamu ndio unauza mahubiri.

Kama ulikuwapo....
 

Kuna wajinga wengi sana ndugu yangu....
 
Ulitakiwa uelewe kwanza nilichokiandika, kuliko kukurupuka kama ulivyo fanya.
 
Nimeangalia hapa, huyu mzee ananyomi kama ya lowasa! Sadaka pale hakosi million 100 kila wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…