Kwani Uislamu haumtambui masiha? Wenye mafunzo ya kweli ya uislamu wanamtambuwa Masiha na ndiye anayehubiribiwa kwa Mwamposa ambaye wengi mnatambuwa kwa jina la Yesu na wengine wanamtambuwa kama Issa bin Mariam.
Kumbuka kwa Mwamposa siyo sehemu ya dini, ni huduma kwa dini zote, lile siyo kanisa ni ministry, kuna tofauti kati ya Kanisa ( Church) na huduma (Ministry)
Si kweli, hata mimi zamani nilikuwa na mtazamo kama wako, nimemshuhudia mate wangu akipata uponyaji kwa Suguye.
Ukweli upo, ila ni jambo la kiimani zaidi na siyo jambo la over night.