Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale.
Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu wenye capacity yakuongoza wizara?
Pia soma:News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali